OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahahaaaa. Na anawanyoosha hasa. 🙏Hahhahaa Shadeeya njoo huku watani zako wameambiwa ukweli, harafu wanajifanya kukasirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili zigo la YangaPole sana Mtani wangu OKW BOBAN SUNZU. Mumuzowee tu huyo Mnguvu moja mwenzenu
Na mm nakazia tu akienda uwanjani apigwe tuPole sana Mtani wangu OKW BOBAN SUNZU. Mumuzowee tu huyo Mnguvu moja mwenzenu
Yupo DRC na akina Hans Pope. Mtu wenu huyo Kiongozi.Hili zigo la Yanga
Kuwapo kwake Kongo haimaanishi kwamba hajaandika ujumbe huo. Yupo kule kama mwandishi wa habari, si kama mwana Simba. Viongozi ni weledi, hawawezi kumtenga Mtanzania mwenzao ugenini hata kama wanajua akitoka hapo ataandika kuiponda Simba. Ni sawa mwandishi wa habari wa Tanzania Daima kuwapo kwenye msafara wa JPM, hawezi kuzuiwa. Lakini kwa kutokuzuiwa haimaanishi msimamo utabadilika, au waliombeba wanampendaMkuu yupo kongo, na jana alikuwa kwenye mazoezi na wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi na wajumbe.