ngogo s ngogo
Senior Member
- Nov 29, 2015
- 134
- 81
Lili jamaa ni BWABWA. Hebu ona hata lilivyo livyo. Daaaah!. Mungu fundi aisee anaweza kuiumba jitu lenye SURA na SAUTI mbaya km lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 997940
Huu ni shauri wa bure kabisa. Sio sheria,hutaki unaacha
Nimefuatilia ghazabu za mashabiki lialia wa Simba dhidi ya Shaffi Dauda na kuona tunakoelekea sio kuzuri.
Shaffi ameonekana kuwaudhi zaidi mashabiki baada ya kutumia vibaya Clouds kutukana mashabiki na kuivunja moyo timu ya Simba.
Katika hali inayoendelea naona kila dalili huyu bwana kupewa vitasa na mashabiki. Ipo siku atachezea kichapo tu.
Namshauri achukue tahadhali hii.
Sent using Jamii Forums mobile app