Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Shafii Dauda ni Simba haswa, ila anachonishangaza ni kutumia ugomvi wake na Manara kuiponda Simba.Hili zigo la Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shafii Dauda ni Simba haswa, ila anachonishangaza ni kutumia ugomvi wake na Manara kuiponda Simba.Hili zigo la Yanga
Kuna mahali umetania kidogo hapo. Mwandishi wa Tanzania Daima aalikwe msafara wa sifa na utukufu wa "malaika mkuu"? Thubutu!!!!Kuwapo kwake Kongo haimaanishi kwamba hajaandika ujumbe huo. Yupo kule kama mwandishi wa habari, si kama mwana Simba. Viongozi ni weledi, hawawezi kumtenga Mtanzania mwenzao ugenini hata kama wanajua akitoka hapo ataandika kuiponda Simba. Ni sawa mwandishi wa habari wa Tanzania Daima kuwapo kwenye msafara wa JPM, hawezi kuzuiwa. Lakini kwa kutokuzuiwa haimaanishi msimamo utabadilika, au waliombeba wanampenda