Ushauri: Shafii Dauda asifike kwenye mechi za Simba,kuna siku utapewa kichapo

Lili jamaa ni BWABWA. Hebu ona hata lilivyo livyo. Daaaah!. Mungu fundi aisee anaweza kuiumba jitu lenye SURA na SAUTI mbaya km lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mjanja sana. Simba inavyozidi kupaa nae anazidi kupata mkwanja. Anaitumia simba ktk vyombo vya habari bila watu kujua.
 
Lili jamaa ni BWABWA. Hebu ona hata lilivyo livyo. Daaaah!. Mungu fundi aisee anaweza kuiumba jitu lenye SURA na SAUTI mbaya km lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukosoane tabia sababu zinaweza rekebishika na muhusika mwenyewe ila usikosoe alichokiumba Mungu. Mpira usitufanye tukasahau misingi ya utu wetu.
 
Shafii Dauda aache kuchokoza mashabiki wa Simba. Afanye kazi yake kwa weledi. Kuna watu wapo serious mno na mpira, asichokonoe hisia za watu kwa kutumia nafasi yake pale clouds.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara kafanikiwa kawachonganisha mashabiki na shaffìh sababu kawashika akili zenu mbumbumbu sana nyie
 
Lili jamaa ni BWABWA. Hebu ona hata lilivyo livyo. Daaaah!. Mungu fundi aisee anaweza kuiumba jitu lenye SURA na SAUTI mbaya km lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi ya nini kaka huu ni mpira tu

Km huwa unahudhuria pale taifa hadi mashabiki wa simba huwa tunabishana hadi inafikia stej ya kukunjana ila game ikiisha tunaendelea na maisha kwa kupeana tano
Sasa wewe unaonekana huwezi kuwa shabiki wa mpira utakuwa shabiki wa matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kilichokuuma ww zaid ni nn?. Unamfaham vzr hyu jamaa?. Vingine huvijui kama kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila la heri CLUB AS VITA DHIDI YA SIMBA....wachape hao wa matopeni.. SIMBA NI UNDERDOG HILO HALINA UBISHI (By Shafii DAUDA)
 
Kuna mtu ana uwezo wa kunitajia timu ya HOVYO kuizidi Simba hapa duniani? Nitatoa 200,000 pesa ya Tanzania kwa mshindi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…