Kuwapo kwake Kongo haimaanishi kwamba hajaandika ujumbe huo. Yupo kule kama mwandishi wa habari, si kama mwana Simba. Viongozi ni weledi, hawawezi kumtenga Mtanzania mwenzao ugenini hata kama wanajua akitoka hapo ataandika kuiponda Simba. Ni sawa mwandishi wa habari wa Tanzania Daima kuwapo kwenye msafara wa JPM, hawezi kuzuiwa. Lakini kwa kutokuzuiwa haimaanishi msimamo utabadilika, au waliombeba wanampenda