chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ccm ina viwanja vimetapakaa nchi nzima, lakini vingi vina hali mbaya. Chama chetu hakina fedha za ukarabati.
Viwanja kama CCM Kirumba, Kaitaba na vingine vingi, kabla ya mfumo wa vyama vingi, tulitegemea fedha za serikali.
Kwa sasa njia pekee ni kuhamishia sherehe za kitaifa katika viwanja hivyo na kupanga fungu kubwa la maandalizi ambamo humo litapenyezwa fungu la ukarabati.
Hii ndio njia pekee ya kunusuru viwanja hivyo.