Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown

Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA.

Chanzo: Daily News Tanzania
 
Wanafunzi wamekaa nyumbani tangu March 17 mwaka huu kwa likizo ya ghafla ya Corona. Ni wazi wengi wao hawakuwa na ulinzi thabiti wa wazazi na walezi.

Pia vijana na wanaume wasiojiheshimu wame-interact na wasichana hao kwa kiasi kikubwa huko majumbani na mitaani.

Kwahiyo ili kujiridhisha ni bora wakapimwa hali zao za ujauzito kwasababu wamekaa nyumbani karibu Miezi 3½ (March 17-June 28).

Mwenzako akinyolewa, zako tia maji
Screenshot_20200618-225327.png
 
Back
Top Bottom