Mzukulu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2020 Posts 1,401 Reaction score 2,641 Jun 18, 2020 #1 Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Jun 18, 2020 #2 Poleni sana Kenya
T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,419 Jun 18, 2020 #3 Wanafunzi wamekaa nyumbani tangu March 17 mwaka huu kwa likizo ya ghafla ya Corona. Ni wazi wengi wao hawakuwa na ulinzi thabiti wa wazazi na walezi. Pia vijana na wanaume wasiojiheshimu wame-interact na wasichana hao kwa kiasi kikubwa huko majumbani na mitaani. Kwahiyo ili kujiridhisha ni bora wakapimwa hali zao za ujauzito kwasababu wamekaa nyumbani karibu Miezi 3½ (March 17-June 28). Mwenzako akinyolewa, zako tia maji
Wanafunzi wamekaa nyumbani tangu March 17 mwaka huu kwa likizo ya ghafla ya Corona. Ni wazi wengi wao hawakuwa na ulinzi thabiti wa wazazi na walezi. Pia vijana na wanaume wasiojiheshimu wame-interact na wasichana hao kwa kiasi kikubwa huko majumbani na mitaani. Kwahiyo ili kujiridhisha ni bora wakapimwa hali zao za ujauzito kwasababu wamekaa nyumbani karibu Miezi 3½ (March 17-June 28). Mwenzako akinyolewa, zako tia maji
Mariki boy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 359 Reaction score 1,155 Jun 18, 2020 #4 zacha said: View attachment 1482810 Click to expand... Aisee inahuzunisha sana lkn ndo ivyo imetokea tayali
zacha said: View attachment 1482810 Click to expand... Aisee inahuzunisha sana lkn ndo ivyo imetokea tayali
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,685 Reaction score 12,000 Jun 18, 2020 #5 Jiandae kuozea jela zacha said: View attachment 1482810 Click to expand...
V Volodimiri Zelensiki JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,154 Reaction score 3,417 Jun 19, 2020 #6 Kawe Alumni said: Jiandae kuozea jela Click to expand... Rekebisha isomeke "Jiandae kuozesha jela maana utatakiwa kujisaidia humohumo ndani"
Kawe Alumni said: Jiandae kuozea jela Click to expand... Rekebisha isomeke "Jiandae kuozesha jela maana utatakiwa kujisaidia humohumo ndani"
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 19, 2020 #7 Wavulana watapimwa nini?
LING'WINA Senior Member Joined Jan 4, 2012 Posts 170 Reaction score 114 Jun 19, 2020 #8 Erythrocyte said: Wavulana watapimwa nini ? Click to expand... "Tezi dume"
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jun 19, 2020 #9 Very sad