Pole na majukumu mazito ya kuijenga Tanzania.
Ninapenda kuchukua nafasi hii kukuomba Rais uamrishe siku ya sensa iwe ni siku ya mapumziko.
Hii ni kwasababu zifuatazo;
1. Siku ya kwanza ikiwa ni mapumziko nina amini makarani wetu watafanya kazi nzuri kwa kua watapata taarifa nyingi na sahihi kwa kua watu watakua majumbani.
2. Baada ya siku ya kwanza makarani wanaweza kuendelea kuokoteza taarifa kwa wale ambao hawatakuwa wamefikiwa katika siku ya kwanza.
3. Ukizingatia resources ambazo tumeingiza kama nchi kwenye zoezi hili ninaamini tunatamani tupate takwimu sahihi ili tuweze kupanga mipango mujarabu ya maendeleo ya watu wetu.
4. Siku moja haina athari kubwa kwenye uchumi ukizingatia faida za sensa ambazo tutazipata kwa kupata takwimu sahihi.
5. Si rahisi kama inavyodhaniwa kila mtu kumwachia msichana wa kazi au mtu mwingine yeyote taarifa zake binafsi.
Ninatoa ushauri tu kwa maslahi ya ufanikwashwaji wa zoezi hili kwani nina mashaka kidogo pamoja na hayo kwani watu wamepumzika mara ngapi toka tupate uhuru tumepungukiwa nini au hapa tulipo ni kwa kua tulipumzika au siku moja iliamriwa kuwa public holiday.
Ninaaamini kwa matokeo makubwa muheshimiwa Rais tafadhali let AUGUST, 13 be public holiday.