USHAURI: Simba ihamishe nguvu kudai katiba mpya kwa sasa walau kutoa mchango kwa jamii kuliko kukaa bila specific mission

USHAURI: Simba ihamishe nguvu kudai katiba mpya kwa sasa walau kutoa mchango kwa jamii kuliko kukaa bila specific mission

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi kwani hawana mission yoyote kwa sasa.

Nawasilisha

View attachment 2617920
 
Shida...Ndg Rage alishaweka wazi....ni Mbumbumbu [emoji24][emoji24][emoji24] hawatakuwa na mchango wowote ..

Waachwe tu, Walipe madeni wanayodaiwa na akina Onyango beki la boli....[emoji1787]
 
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi kwani hawana mission yoyote kwa sasa.

Nawasilisha

View attachment 2617920
Ila watu mna maneno! Eti leo Simba wamekuwa wazururaji?
 
Yanga msiwe washamba wa football. Hakuna lolote mlilovumbua kwa kuingia nusu fainali. Mmeshinda sawa, shangilieni na furahini kwa raha zenu ila msidhani dunia imesimama kwa sababu yenu.
 
Mlikuwa klabu bingwa. Kilichowafikisha huku kombe la waliofeli ni kipi? Pambaneni na kombe lenu la losers sisi halituhusu.
 
Back
Top Bottom