Ushauri : Simba isijaribu kuidharau Yanga , kuna wakati Marehemu hupiga chafya

Ushauri : Simba isijaribu kuidharau Yanga , kuna wakati Marehemu hupiga chafya

Tatizo bench la ufundi Simba limejaza watu lakini umakini mdogo Mara nyingi tumewafunga yanga kwa kuwazidi kwenye kiungo na Hilo yanga wametambua walicheza na Simba wanajaza viungo Ila sisi tumebaki na mbinu zilezile pia kutegemea mchezaji Kama Boko ambaye kiasi kikubwa amekuwa Hana msaada
 
Back
Top Bottom