Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Hujaangalia vizuri mkuu mi mbona nimeona tofauti Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Mechi ya kwanza Al Ahly 7- Simba 0, ya pili Al Ahly 5- Simba 0!

Simba ni papatu papatu ligi ya ngao ya jamii hawakufunga goli hata moja dkk 90! Hata Singapore Big Stars waliishindwa sembuse Al Ahly! Hii michuano inaenda kulidhalilisha taifa!

Kwenye msafara wa Mamba wale wengine huwa hawakosi! Pot 1 timu Kali, pot 2 vibonde Simba na wengine! Simba mechi zao 2 tu ndo maana beki zao hazijaitwa Taifa Stars maana ni uchochoro!

Huwa nasema Ukweli tu ni desturi yangu! Simba ikitoboa nahamia kolowizard Mbumbumbu fc!
 
Tukiwaambia wanakua wakali
 
Halafu simba mkishapata hizo billion 5 za maandalizi haraka sana mpeni mwamedi ku recover hasara alizopata
 
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!
 
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!

Tusiongee mengi tusubiri matokeo
 
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!

Na wewe usiikimbie comment yako maaana umeandika mwenyewe
 
Halafu simba mkishapata hizo billion 5 za maandalizi haraka sana mpeni mwamedi ku recover hasara alizopata
Ngoja ikuume zaidi: Siyo bilioni 5 bali ni dola za kimarekani 2.5milioni (USD 2.5 milion). Ukizibadili kwa pesa za Tanzania hizo ni Tsh 6,250,000.000/= yaani bilioni sita na mia mbili hamsini milioni.(6.25 bilioni). Hizo kila timu inayoshiriki inapewa ikiwemo Simba!! Mshindi atapewa USD 11.5 milion!!

Poleni sana wenye wivu!!
 
Sawa ndio kampe mwamedi apunguze uchungu
 
Yanga walifika fainali kwenye kombe la losers baada ya kuwa wameangukia pua kwenye bkombe la mabingwa!!! kizawadi chenyewe cha kufika fainali kombe la losers ni kiduchu!! Simba itavuna sh. 6.25 bilioni!! Na ikibeba kombe itavuna zingine USD 11.5 milioni sawa na Tsh 28.75 bilioni. Hapo mchezaji gani tutashindwa kumnunua afrika hii?
 
Ndiyo tatizo la kubemendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…