Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Yanga walifika fainali kwenye kombe la losers baada ya kuwa wameangukia pua kwenye bkombe la mabingwa!!! kizawadi chenyewe cha kufika fainali kombe la losers ni kiduchu!! Simba itavuna sh. 6.25 bilioni!! Na ikibeba kombe itavuna zingine USD 11.5 milioni sawa na Tsh 28.75 bilioni. Hapo mchezaji gani tutashindwa kumnunua afrika hii?

Acha kuota kojoa ukalale sio unaongea uozo humu ndani mwisho wa siku nitafufua hii comment yako mwisho wa matokeo
 
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!
Ndoto za mchana hizo
 
Ikitokea simba kwa bahati mbaya ikatolewa lakini itakuwa imevuna shilingi 6.25 bilioni!! Hapo vipi!! timu ya "wananchi" mtazisikia kwenye bomba tu!!
Lkin zitaingia Kwa account ya mud
 
Yanga walifika fainali kwenye kombe la losers baada ya kuwa wameangukia pua kwenye bkombe la mabingwa!!! kizawadi chenyewe cha kufika fainali kombe la losers ni kiduchu!! Simba itavuna sh. 6.25 bilioni!! Na ikibeba kombe itavuna zingine USD 11.5 milioni sawa na Tsh 28.75 bilioni. Hapo mchezaji gani tutashindwa kumnunua afrika hii?
Kumbuka zitakua za mudi
 
Mwandikaji wa huu uzi wewe unaonekana haumo kwenye familia ya michezo,hata mpira huujui.
 
Back
Top Bottom