Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Hujaangalia vizuri mkuu mi mbona nimeona tofauti Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Mechi ya kwanza Al Ahly 7- Simba 0, ya pili Al Ahly 5- Simba 0!Jana nilifanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October......mnyama ( kolo ) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly
Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba
Nb: makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23].....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Simba ni papatu papatu ligi ya ngao ya jamii hawakufunga goli hata moja dkk 90! Hata Singapore Big Stars waliishindwa sembuse Al Ahly! Hii michuano inaenda kulidhalilisha taifa!
Kwenye msafara wa Mamba wale wengine huwa hawakosi! Pot 1 timu Kali, pot 2 vibonde Simba na wengine! Simba mechi zao 2 tu ndo maana beki zao hazijaitwa Taifa Stars maana ni uchochoro!
Huwa nasema Ukweli tu ni desturi yangu! Simba ikitoboa nahamia kolowizard Mbumbumbu fc!