Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly


Acha kuota kojoa ukalale sio unaongea uozo humu ndani mwisho wa siku nitafufua hii comment yako mwisho wa matokeo
 
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!
Ndoto za mchana hizo
 
Ikitokea simba kwa bahati mbaya ikatolewa lakini itakuwa imevuna shilingi 6.25 bilioni!! Hapo vipi!! timu ya "wananchi" mtazisikia kwenye bomba tu!!
Lkin zitaingia Kwa account ya mud
 
Kumbuka zitakua za mudi
 
Mwandikaji wa huu uzi wewe unaonekana haumo kwenye familia ya michezo,hata mpira huujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…