Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Jana nilifanya time traveling kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October. Mnyama (kolo) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly.

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: Makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]. Kifuatacho ni aibu kwa nchi.

1688470802253.jpg
 
Jana nilifanya nafanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 16 October......mnyama ( kolo ) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23].....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Hakika.nmeamn kweli utopwinyo weny akili n wawil
 
Jana nilifanya nafanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 16 October......mnyama ( kolo ) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly

Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba

Nb: makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23].....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Mkuu sahihisha mapema ni tarehe 20/10/2023

Tarehe 16/09/2023 watakuwa wanakandwa huko Zambia
 
Mlibahatisha mwaka jana kombe la loosers kufika fainali ya kombe la loosers kwa kukutana na timu dhaifu . Huku CAFCL timu dhaifu huwa hazifiki makundi. Ni dhahiri mwendo mtaumaliza kwa El Meleik.
Time Will tell
 
Back
Top Bottom