Pamoja na hili lakini niseme kuwa watanzania wanaponzwa na woga, upole wao na kutaka kufanyiwa au kuongozwa kwa mambo yaliyo wazi. Mimi nikifika sehemu kama hiyo, siongei, siulizi sicheki. Najua ninachokitafuta na sitaki muongozo wowote.Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Wamemuibia mwanangu juzi alienda kutafuta begi la shule na viatu wamechukua hela wamemkalisha kwenye meza ya mtu sitaki kuwasikia alikuwa na bibi yake wenyewe wamekaa wanasubiri begi na viatu mpk jua linakuchaPamoja na hili lakini niseme kuwa watanzania wanaponzwa na woga, upole wao na kutaka kufanyiwa au kuongozwa kwa mambo yaliyo wazi. Mimi nikifika sehemu kama hiyo, siongei, siulizi sicheki. Najua ninachokitafuta na sitaki muongozo wowote.
Tumeanza na MachingaUshauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Unamaanisha alitoa pesa kabla hajakabidhiwa bidhaa anayoilipia???Wamemuibia mwanangu juzi alienda kutafuta begi la shule na viatu wamechukua hela wamemkalisha kwenye meza ya mtu sitaki kuwasikia alikuwa na bibi yake wenyewe wamekaa wanasubiri begi na viatu mpk jua linakucha
Nilikuwa naangalia Tbc hapa ni kama tayar wametolewa wapishe ujenzi wa soko la kisasaUshauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Walienda kwenye meza hiyo kununua begi na viatu wakakosa wakawaambia wawape hela wakalete stoo wasubiri kukaa muda eneo lile yule mwenye ofisi anauliza mnasubiri nini ndio wanamwambia tumewapa hela wale wameenda stoo kutuletea vitu ndio wakawaambia mmeibiwaUnamaanisha alitoa pesa kabla hajakabidhiwa bidhaa anayoilipia???