Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
 
Katika vitu ambavyo sivipendi ni kwenda sehemu halafu atokee mtu au watu wanizongezonge na kujidai wanataka kunipeleka sehemu ambazo mimi nazijua[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Pamoja na hili lakini niseme kuwa watanzania wanaponzwa na woga, upole wao na kutaka kufanyiwa au kuongozwa kwa mambo yaliyo wazi. Mimi nikifika sehemu kama hiyo, siongei, siulizi sicheki. Najua ninachokitafuta na sitaki muongozo wowote.
 
Wamemuibia mwanangu juzi alienda kutafuta begi la shule na viatu wamechukua hela wamemkalisha kwenye meza ya mtu sitaki kuwasikia alikuwa na bibi yake wenyewe wamekaa wanasubiri begi na viatu mpk jua linakucha
 
Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Tumeanza na Machinga
 
Unamaanisha alitoa pesa kabla hajakabidhiwa bidhaa anayoilipia???
 
Hilo soko nliacha kwenda miaka mingi, Nalichukia limejaa madalali Kama sijui Nini. Yani Hadi unachefukwa jinsi madalali wanavyokusonga. Bora niende zangu Mwenge au hata Tandika
 
Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka nyumbani kwako
Wazo langu waondolewe haraka
Nilikuwa naangalia Tbc hapa ni kama tayar wametolewa wapishe ujenzi wa soko la kisasa
 
Unamaanisha alitoa pesa kabla hajakabidhiwa bidhaa anayoilipia???
Walienda kwenye meza hiyo kununua begi na viatu wakakosa wakawaambia wawape hela wakalete stoo wasubiri kukaa muda eneo lile yule mwenye ofisi anauliza mnasubiri nini ndio wanamwambia tumewapa hela wale wameenda stoo kutuletea vitu ndio wakawaambia mmeibiwa
 
Back
Top Bottom