Ushauri tafadhali juu ya uchumba huu

Live,hata hvo nataka nmpe mda kdogo huku nkichek plan b.
 
Lo ni zuga tuu we vuta mashine mpyaa watt wote wazur hawa.
 
Labda kaanzisha uhusiano sehemu nyingine kwa hiyo wewe anaona basi tena, ila tu kukuambia moja kwa moja inakuwa ngumu kwake.
 
uchumba unavunjika bwana.....wewe fanya mambo mfunge ndoa kabisa ndiyo aje kwako.......mambo ya kuishi pamoja kisa ni wachumba haikubaliki......
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…