Annah Mosha
Member
- Aug 22, 2014
- 55
- 25
Napita tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuepusha lawama acje zuga chanzo mm
DuuuuhLabda kaanzisha uhusiano sehemu nyingine kwa hiyo wewe anaona basi tena, ila tu kukuambia moja kwa moja inakuwa ngumu kwake.
PoleHabari wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume nina mchumba ambaye tulikubaliana tuanze kuishi kama mme na mke mwezi wa 12 mwaka jana.Lakini kulitokea tatizo kidogo amabapo dada ake alikuwa anaumwa nayeye akawa ndio mtu wa kumsaidia pale nyumbani alikoolewa dada yake.Hivyo nikaamua kumpa mda apate nafuu mgonjwa,Lakini alipopona akaanza kusogeza mda akakidai hadi mwezi wa 3,nikimuuliza sababu anadai nisubiri pasipo sababu za msingi.
Nawakati huo nilishatoa kishika uchumba kwao,hata hiyvo mama yake amekuwa akimwambia aendoke nyumbani na aje kwangu,lakini amekuwa mtu wa kuahidi siku fulani naja,ikitimia hafiki na kutoa sababu kama anaumwa.Nimejaribu kumwambia kama haupo tatari kwa sasa ama umepata mwingine naomnba nikwache uwe huru, ufanye unavopenda.
Yeye huniambia nasema hivi labda nimepata mwingine wakati sivyo,siku inayofata anadai si umeamua nakurudishia hizo pesa zako ukitaka. Nikamwambia niwewe ukirudisha ama usirudishe hamna shida.Baadae anaanza kusema basi nipe wiki nakuja kabla haijatimia anaanza sababu ila mama anaenda kesho kuuguza bibi huko siwezi kuondoka home. Lakini nikapeleleza ikawa kweli hadi leo hajarudi lakini sioni kama kuna sababu ya msingi,hivi kwa hali hii kuna changu hapa.
Ushauri please.