platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
hivi rutta na purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? Sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. Yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.
Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. Ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. Huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
kama mimi eeh