Ushauri Tafadhari!

Ushauri Tafadhari!

hivi rutta na purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? Sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. Yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.

Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. Ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. Huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.

kama mimi eeh
 
hivi rutta na Purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.

Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...i-wangu-kutokana-na-message-aliyonitumia.html............Haya mama ushauri soma mwenyewe
 
kama vp achana naye mimi mwenyewe niko single send me your no tuanze mawasiliano coz hii itakusadia kumsahau haraka sana
 
Pole sana.
mpe nafasi kiasi Kama wiki kadhaa, then muulize ni kwa nini ameamua kukatisha mawasiliano na wewe. Ila muulize kwa simu, asipopokea umtumie ujumbe. Akileta pozi mnyamazie.
time heals all the wounds. Jiweke busy kusaka kazi, seat tight manake atarudi iwe zamu yako kuweka mapozi. Kila la kheri
 
Kusahau ni ngumu bt take yo-tym kujichanganya na watu then jitahidi ku-socialize. Bt usirukie mahusiano kisa eti unataka nafasi ya kumsahau jamaa. Lazima ukubali kua imetokea then u have to forge ahead
 
Pole sana kwa haya yote, hilo halikuwa kosa kubwa hadi kuachana ila ukweli atakuwa amepata mwingine.
Fuata haya yafuatayo yataj=kusaidia.
1. Usimtafute wala kumpigia simu, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwani Mungu atakupa wako atakayekupenda na kukujali.
2. Usiwe mpweke/ mwenyewe muda mrefu, jichanganye na rafikizo kupiga stori n.k hii itakusaidia kumsahau haraka.
3. Mwombe MUNGU akupe wako, huyo hakuwa wako ndio maana amekufanyia hivyo.
4. Usilazimishe kurudiana naye sababu unampenda, utakuja kuumia zaidi ya hapa utakuja juta zaidi na muda huo itakuwa too late.

Huu ushauri woote mnaompa mwenzake yupo hapa jamvini anauona......Ni kama kumpa adui yako taarifa za silaha ulizonazo!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu ushauri woote mnaompa mwenzake yupo hapa jamvini anauona......Ni kama kumpa adui yako taarifa za silaha ulizonazo!!!!!!!!!!!!!!

Nafahamu ya kuwa yupo na anaona kwani niliisoma post ya huyo Buchana..... Mwache tu ajisomee, mbona naye alivyoomba ushauri demu wake kaona alivyojibiwa??

Km ulishampa kipochi utamu ujue ndo jibu hilo
 
Back
Top Bottom