hivi rutta na purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? Sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. Yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.
Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. Ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. Huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
hivi rutta na Purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.
Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
Pole sana kwa haya yote, hilo halikuwa kosa kubwa hadi kuachana ila ukweli atakuwa amepata mwingine.
Fuata haya yafuatayo yataj=kusaidia.
1. Usimtafute wala kumpigia simu, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwani Mungu atakupa wako atakayekupenda na kukujali.
2. Usiwe mpweke/ mwenyewe muda mrefu, jichanganye na rafikizo kupiga stori n.k hii itakusaidia kumsahau haraka.
3. Mwombe MUNGU akupe wako, huyo hakuwa wako ndio maana amekufanyia hivyo.
4. Usilazimishe kurudiana naye sababu unampenda, utakuja kuumia zaidi ya hapa utakuja juta zaidi na muda huo itakuwa too late.
Huu ushauri woote mnaompa mwenzake yupo hapa jamvini anauona......Ni kama kumpa adui yako taarifa za silaha ulizonazo!!!!!!!!!!!!!!
Haka kaswali mbona hakajibiwi?okay...huyo jamaa alishaonja K yako?
Mmeshafanya matusi na ex wako?