Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

Leele

Member
Joined
May 11, 2020
Posts
39
Reaction score
18
Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama Musoma, Bwiru Tech n.k.

Namuomba sana Mama Ndalichako aitambue engineering science kuwa ni sawa na physics kama ilivokuwa zamani ili watoto was Kitanzania wapate elimu juu kama wengine.
 
hujaelewa unazungumzia nini mkuu
 
Uko sure na unachoongea..?
 
Uko sure na unachoongea..?
Nina uhakika sio kwamba nabahatisha kuna jamaa yangu mwaka Jana kaomba degree ya nursing ana form four kasoma science ila shule za ufundi maanake hana physics maana kule hawakuwa nayo na serikali wanajua ivo lakin pia ana diploma ya uuguzi na GPA yake ni nzur na matokeo yake ya kidato cha nne no mazur. Cha ajabu kapata nafasi kwenye chuo kimoja jina kutumwa TCU wanasema hana physics akakosa nafasi . Hata kama ukiangalia kwenye vigezo vya TCU kuchukua koz za science hakuna ilipotajwa engineering science mkuu. Kwa hiyo Nina uhakika na jambo hili n atulipo ends chuo kuuliza wakatoa jibu hilo. So naomba serikali itizame watu hawa .
 
Duh kama iko hivyo. Watakuwa wanazingua sana. Labda kama wanafanya kwa kutokujua..!
Au ni Makusudi kwamba wanataka wakasomee only ufundi au..!
 
Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
 
naona mpka advance uwe umegusa phys kwa hao waliosoma tech
 
Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
Hapo pagumu. Sasa sababu yao ni nini?
Mpaka wanakuwa hawautambui.?
 
Sasa ujue hakuna haja ya kugusa advance wakat una diploma
 
Hebu nielewesheni vizuri. Kuna masomo ya engineering science bila ya physics???? Hiyo inakuwaje? Mimi ukitaja neno engineering tu natarajia uwe gwiji wa physics na chemistry na math.
Kwa wale wanaosoma technical schools O'level huwa wanasoma hiyo Engineering Science. Hawana somo linaloitwa Physics, japo contents kama zinafanana.
 
Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
Mkuu hii taarifa umetoa wapi? embu tupatie link, maana na mie naweza kuwa muathirika kwenye hili.
 
Mkuu sio kwamba nimetoa wap nasema hv bwana mdogo ameomba mwaka was masomo was Jana koz ya nursing hakupata kwa sababu alikuwa hana physics lakin ana engineering science na kafaulu vzr lakin pia ana diploma ya uuguz lakin sababu ni hiyo niloeleza hapo awali . sijui kama unanielewa.
 
Nimekuelewa vizuri mkuu, tatizo limekuwa ni jambo jipya kwangu.
 
Mkuu sio kwamba nimetoa wap nasema hv bwana mdogo ameomba mwaka was masomo was Jana koz ya nursing hakupata kwa sababu alikuwa hana physics lakin ana engineering science na kafaulu vzr lakin pia ana diploma ya uuguz lakin sababu ni hiyo niloeleza hapo awali . sijui kama unanielewa.
Pia jaribu kuangalia kwenye vigezo vya TCU kwa wanao hitaji kuchukua bachelor wenye diploma koz za science utakuta inatajwa physics na engineering science haipo sasa haya mi naona ni mambo ya kushangaza .
 
Back
Top Bottom