hujaelewa unazungumzia nini mkuuUkweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama Musoma, Bwiru Tech n.k.
Namuomba sana Mama Ndalichako aitambue engineering science kuwa ni sawa na physics kama ilivokuwa zamani ili watoto was Kitanzania wapate elimu juu kama wengine.
Uko sure na unachoongea..?Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama Musoma, Bwiru Tech n.k.
Namuomba sana Mama Ndalichako aitambue engineering science kuwa ni sawa na physics kama ilivokuwa zamani ili watoto was Kitanzania wapate elimu juu kama wengine.
Nina uhakika sio kwamba nabahatisha kuna jamaa yangu mwaka Jana kaomba degree ya nursing ana form four kasoma science ila shule za ufundi maanake hana physics maana kule hawakuwa nayo na serikali wanajua ivo lakin pia ana diploma ya uuguzi na GPA yake ni nzur na matokeo yake ya kidato cha nne no mazur. Cha ajabu kapata nafasi kwenye chuo kimoja jina kutumwa TCU wanasema hana physics akakosa nafasi . Hata kama ukiangalia kwenye vigezo vya TCU kuchukua koz za science hakuna ilipotajwa engineering science mkuu. Kwa hiyo Nina uhakika na jambo hili n atulipo ends chuo kuuliza wakatoa jibu hilo. So naomba serikali itizame watu hawa .Uko sure na unachoongea..?
Duh kama iko hivyo. Watakuwa wanazingua sana. Labda kama wanafanya kwa kutokujua..!Nina uhakika sio kwamba nabahatisha kuna jamaa yangu mwaka Jana kaomba degree ya nursing ana form four kasoma science ila shule za ufundi maanake hana physics maana kule hawakuwa nayo na serikali wanajua ivo lakin pia ana diploma ya uuguzi na GPA yake ni nzur na matokeo yake ya kidato cha nne no mazur. Cha ajabu kapata nafasi kwenye chuo kimoja jina kutumwa TCU wanasema hana physics akakosa nafasi . Hata kama ukiangalia kwenye vigezo vya TCU kuchukua koz za science hakuna ilipotajwa engineering science mkuu. Kwa hiyo Nina uhakika na jambo hili n atulipo ends chuo kuuliza wakatoa jibu hilo. So naomba serikali itizame watu hawa .
Nashangaaa hata mimiDuhh hili la kutoitambua engineering science limeanza lini tena.
Jipya kwangu hili.
Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayoDuh kama iko hivyo. Watakuwa wanazingua sana. Labda kama wanafanya kwa kutokujua..!
Au ni Makusudi kwamba wanataka wakasomee only ufundi au..!
Hapo pagumu. Sasa sababu yao ni nini?Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
Ujue kuna mambo yanashangaza sanaHapo pagumu. Sasa sababu yao ni nini?
Mpaka wanakuwa hawautambui.?
Kwa wale wanaosoma technical schools O'level huwa wanasoma hiyo Engineering Science. Hawana somo linaloitwa Physics, japo contents kama zinafanana.Hebu nielewesheni vizuri. Kuna masomo ya engineering science bila ya physics???? Hiyo inakuwaje? Mimi ukitaja neno engineering tu natarajia uwe gwiji wa physics na chemistry na math.
Mkuu hii taarifa umetoa wapi? embu tupatie link, maana na mie naweza kuwa muathirika kwenye hili.Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
Mkuu sio kwamba nimetoa wap nasema hv bwana mdogo ameomba mwaka was masomo was Jana koz ya nursing hakupata kwa sababu alikuwa hana physics lakin ana engineering science na kafaulu vzr lakin pia ana diploma ya uuguz lakin sababu ni hiyo niloeleza hapo awali . sijui kama unanielewa.Mkuu hii taarifa umetoa wapi? embu tupatie link, maana na mie naweza kuwa muathirika kwenye hili.
Nimekuelewa vizuri mkuu, tatizo limekuwa ni jambo jipya kwangu.Mkuu sio kwamba nimetoa wap nasema hv bwana mdogo ameomba mwaka was masomo was Jana koz ya nursing hakupata kwa sababu alikuwa hana physics lakin ana engineering science na kafaulu vzr lakin pia ana diploma ya uuguz lakin sababu ni hiyo niloeleza hapo awali . sijui kama unanielewa.
Pia jaribu kuangalia kwenye vigezo vya TCU kwa wanao hitaji kuchukua bachelor wenye diploma koz za science utakuta inatajwa physics na engineering science haipo sasa haya mi naona ni mambo ya kushangaza .Mkuu sio kwamba nimetoa wap nasema hv bwana mdogo ameomba mwaka was masomo was Jana koz ya nursing hakupata kwa sababu alikuwa hana physics lakin ana engineering science na kafaulu vzr lakin pia ana diploma ya uuguz lakin sababu ni hiyo niloeleza hapo awali . sijui kama unanielewa.
Mtu mwenye B ya Eng Sc akifanya pepa ya Phy anapata A plus!Jambo hili linaumiza sana ukute kijana ana B ya engineering science alaf unaambiwa afanye tena physics mambo gan hayo
Inawezekana kabisa ila sasa kwa nn wameiondosha kwa watu hawa kuendelea na koz za juu.Mtu mwenye B ya Eng Sc akifanya pepa ya Phy anapata A plus!