The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwahiyo unataka kusema Akili Sina ni ID yako nyingine sio?Hapana dada, nimekerwa tu na hii tabia. Kuna simulizi la mdau anaitwa Akili Sina ni zuri sana sema amekatishwa tamaa na wajuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka kusema Akili Sina ni ID yako nyingine sio?Hapana dada, nimekerwa tu na hii tabia. Kuna simulizi la mdau anaitwa Akili Sina ni zuri sana sema amekatishwa tamaa na wajuaji
Vyovyote utakavyoona mkuuKwahiyo unataka kusema Akili Sina ni ID yako nyingine sio?
Hapo sawaMkuu pole sana, acha nikushauri tu "no hard feelings" ukiwa hapa jf.
We ingia ujaze ubongo wako nondo za humu, furahi na vitu, utani na ujinga wa tu.
Ongeza ujuzi wa mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa n.k
Burudika na hizo simulizi lakini usitegemee saana kua zitaisha, story nyingi humu huwa haziishi mkuu.
Watu wa hivi karibuni waliomaliza story zao ni holy holm na konda msafi japo huyu ilikua ni kwa mapanga na marungu ndo story ikaisha na wengine wachache wasiozidi hata 10.
Ukiona tu "itaendelea" jua ikiendelea ni majaaliwa tu.
Jf kuna mambo mengi mnooo, fanya hayo achana kubase na masimulizi. Humu utani mwingi utapata presha buuure.
hatuna mpango wa kumfuatilia mtu ambaye hana akili (joke)Hapana dada, nimekerwa tu na hii tabia. Kuna simulizi la mdau anaitwa Akili Sina ni zuri sana sema amekatishwa tamaa na wajuaji
Kumbe bw elias uko serious?Chai ya nyookoo
Thread closed 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Nashauri uongozi wa JF, utengeze namna ambayo user mmoja anaweza kum-ban/block user mwingine ambaye anaonekana ni msumbufu hasa katika lugha za kukera kama matusi, mizaha kwenye jambo serious ni mengine km aliyosema mleta mada.
Baadhi yetu tupo hapa kujifunza mambo mbali mbali na kupata new experience ya vitu mbali mbali ambavyo wengine wanapitia so anakuja mtu from no where tena unakuta hata stori yenyewe hajasoma anamwagia tu kwenye comment utasikia 'chai' it sound nowdays wale watoto wa FB wajaa sana humu so tupewe hiyo option niliyo suggests hapo juu ili kutenganisha pumba na mchele.
If you find the story is rigged just stay away from it without causing any trouble. Itakuwa bora sana. Wengine hatujajaliwa vijapi vya kuandika story msiwakatishe tamaa hao wanaotuburudisha.
Ukigundua kuna uongo ndani yake achana nayo, usimkatishe tamaa anayesimulia. Wengi wanavutiwa nayoTatizo wanalazimisha hizo simulizi zionekane zimewatokea wao. Kwani wakianza kwa kusema hii ni simulizi ya kufikiria nani ata wagombeza kuchemsha chai ya sukari nyingi
Ye alete tu chai zake si wanywaji tupo ..kuhalisia humu 90% ya content za wapostiji ni chai 😁😁Wasikutishe na maneno yao ya chai..
Shusha story hiyo
Kabisa mkuu wajitafakari na kujirekebishaKama unaona stori ni ya uongo na hujatozwa hela kwanini umkatishe msimuliaji tamaa?! Sisi wengine tunanufaika na simulizi za humu kwani zinatupunguzia stress.
Sasa unakuta stori ni nzuri sana na ungependa kusoma muendelezo wake, wanaibuka watu wa kumkatisha tamaa msimuliaji kwa kumuambia "unatupiga kamba" au "chai ya leo balaa" wengine wanaenda mbali zaidi na kiandika lugha mbaya! Au mods niwafundishe kazi?!
Hujaombwa hela ya bundle, kwanza humfahamu mleta story wala hujamnunulia hiyo device anayotumia kuandalia simulizi lakini unaibuka na kumkatisha tamaa!
Aisee wenye tabia hizi acheni mambo yenu ya ajabu