Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!
- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.
Much Respect People!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Picha nzuri kivipi? Kwa vile wao ni wanawake?! Ufike wakati watu (wanawake kwa wanaume) waingie bungeni kwa merits aisee. Kwaiyo kama ana uwezo wa kusimama jimboni na kuweza kuwashawishi wananchi kwamba anaweza, basi hakuna shida. Lakini hili la kutaka eti bunge lilete picha nzuri kwa kujaza wanawake ambao wanakua hawako worthy kuingia bungeni, haliko sawa hata kidogo.

Hee!!!Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
Imekuuma eh ,mnakula pesa za bure humo mjengoni ,lazima viti maalumu viondolewe,tumechoka kuwaona mkijibinunuabinua na hizo carolite zenuKatiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
Mi sielewi jamani hivi worth ya mbunge hupimwa kwa kuwa mbunge wa jimbo? yaani atakuwa mzuri akisimama jimboni? Mi naona wengi huona mtu akishinda jimboni ndo mbunge mzuri wa vitimaalum ni wotrhless very fun. Nilikuwa namaanisha hivi lets say, wanawake walijitokeza majimboni kwa sababu ya mfumo dume wakabezwa wakashinda labda wabunge 2 tu, hafu bunge lote likwa ni la wanaume wewe waona kuwa ni picha nzuri?
Taratibu dada!!!Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?
Mi sielewi jamani hivi worth ya mbunge hupimwa kwa kuwa mbunge wa jimbo? yaani atakuwa mzuri akisimama jimboni? Mi naona wengi huona mtu akishinda jimboni ndo mbunge mzuri wa vitimaalum ni wotrhless very fun. Nilikuwa namaanisha hivi lets say, wanawake walijitokeza majimboni kwa sababu ya mfumo dume wakabezwa wakashinda labda wabunge 2 tu, hafu bunge lote likwa ni la wanaume wewe waona kuwa ni picha nzuri?
Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!
- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.
Much Respect People!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
Unaweza ukawa sahihi. Viti maalumu viondolewe maana imekuwa kero machoni kwa watu na eti tunadai hatuoni kazi zao, moja kubwa ninaloomba tuwaunge mkono wakijitokeza kwenye uchaguzi maana tunatabia ya kuwadharau na kuwaona hawafai la sivyo, tutakuwa na wabunge wachache sana sana bungeni wanawake na sijui kama italeta picha nzuri.
viti maalum mie naona vina faida kwa wachache na tungeweza kupunguza hadi kufikia viti 10 tu nchi mzima... pia tungehitaji mid term review ya performance ya wabunge
wengine ni zero kabisa
Remmy, suala sio kuleta picha nzuri au mbaya, suala ni competence na gharama. Wanawake wagombee kama wafanyavyo wanaume. Tutakaemwona anauwezo wa kutuwakilisha tutamchagua! Mbona tunaweza jamani? Shuleni na kazini mbona tunafanya vizuri wakati mwingine kuwashinda hata hao wanaume? With all due respect kwa wanawake viti vya bure havihitajiki! Tatizo la wanawake wengi ni uoga wa kujaribu!