Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
jamani ndo maana kuna rasimu ya katiba,ni muda muafaka wa kutoa maoni ss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina umuhmu ni kuharibu kodi zetu na WENYEVITI WA VYAMA WANAWEKA VIMADA, NYUMBA NDOGO ZAO....
Ndio maana ukifuatilia utaambiwa viti maalumu wanapewa ke tu na sio me
Mawazo hayo uliyatoa kwenye tume ya mabadiliko ya katiba?Ubunge au majimbo yawe kiwilaya. Wasizidi 150 tu. Mawaziri watoke nje ya siasa
Weweeeee! Utasababisha nyumba ndogo nyingi zivunjike
78.-(1) For the purposes of the election of women Members of ParliamentWakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki kikatiba hivyo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera utaratibu wa bunge) Philip Marmo alisema utaratibu uemkua ukitolewa na CCM kama zawadi kwa wanawake hivyo anasema kama kuna uhitaji wa kuendeleza kutoa zawadi hizo bas litolewe pendekezo la kuingiza katika katiba.
swali ni kwamba kwa miaka yote hii ya uhuru arobani na tano ni kweli kuna mambo serikalai yetu inafanya ambayo hayapo kikatiba?
Wakuu nielimisheni maake mimi nilishakufaa siku nyingi ndo maana nataka urithi wangu wanipe niache kuona kinachoendelea.
wewe viti maalum hawateuliwa na rais . wabunge viti maalum wanachaguliwa na wajumbe wa uwt mkoa mzima. kila kata inatoa wajumbe watano : mwenyekiti uwt kata, katibu uwt kata,mjumbe wa mkutano mkuu uwt kata, katibu mhasishaji . kila kata wajumbe hao hukutana mkoani wanapiga kura kupata mbunge. hiyo ni hatua ya kwanza , lakinj hatua ya pili inaangaliwa idadi ya wabunge wa majimbo ambao chama kimepata inatafutwa asilimia ndipo tume wanapokuja na jibu la idadi ya wabunge kwa kila chama. na uchaguzi wao ni tarehe 2/8 kama sikosei
Utaratibu uliuandika hapa ni Wa kiccm zaidi, kwa baadhi ya vyama tumeshuhudia sifa ya kwanza uwe kimada Wa viongozi, na undugu