Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Jambo muhimu mnapaswa kutambua ni kwamba upanuzi wa mawazo na fikra huenda sambamba na kupanuka kwa lugha kwa sababu ya kukidhi hayo mageuzi mapya katika msamiati wa lugha husika sisi watanzania tumeshindwa kuwa na upanuzi wa mawazo na fikra ndio maana kiswahili kinakosa visawe vingi tu, upanuzi wa fikra na mawazo kwa wazungu ndio umesababisha lugha yao kupata visawe vipya kila siku sisi tupo katika fikra ya kutaka mawazo yaliyopo kwenye lugha ya English tuyapeleke kwenye kiswahili au kiswahili kupeleka katika English Jambo ambalo tutapoteza maana halisi na iliyokusudiwa katika lugha chanzi
mfano neno metaphysics katika falsafa lina maana metaphysics is the study of being as being.wakati katika lugha ya kiswahili kupitia kamusi zetu wanasema metafizikia ina maana zifuatazo
Mosi,falsafa ya kuchunguza chanzo Cha uhai na maarifa
Pili,mazungumzo ya hewa
Ukiangalia kwa uwazi utagundua kwamba kiswahili kimepotosha maana halisi ya neno metaphysics ( metafizikia) kwa mfano maana ya kwanza wa kisawe metafizikia katika kiswahili utagundua kwamba maarifa katika falsafa chanzo chake ni epistemology na Wala sio metafizikia.
Hivyo naweza sema kwamba tufundishe au tutoe elimu kwa lugha ya English ili maarifa yaliyo kusudiwa yamfikie muhusika kama yalivyo.