Ushauri: Tundu Lissu kataa kupokea utukufu wa aliye juu, wewe ni mtu tu, Baki na unyenyekevu, utabarikiwa

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu,

Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona wanawake wakivua kanga zao na vitenge wakivitandika chini, na wengine wamelala chini Ili upite juu yake kama ishara ya utii na upendo kwa kiongozi wao kulingana na Mila zao,

Ndugu Lissu huo ni mtego unategewa na Ibilisi, Mungu ni Mungu mwenye wivu, utukufu wake huwa hapendi kushare na wanadamu, walichofanya wanawake hao ni kutaka kukugombanisha na Mungu kwa faida ya Miungu yao chini ya shetani.

Huyu ndiye astahiliye utukufu,
Aliyeandikwa Katika:
(Mathayo 21:8-9)

8: Watu wengi Katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani na wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza njiani, na mkutano waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti wakisema Hosana mwana wa Daudi ndiye mbarikiwa ,Yeye ajaye kwa jina la Bwana,Hosana juu mbinguni.

Nakushauri uendapo ziara kwingine, wakifanya hayo makufuru, wakemee, jishushe, kataa sifa zao za kijinga, Ili uwe salama.

Muige Mwl Nyerere, hakupenda sifa za kijinga.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam!

Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu,

Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona wanawake wakivua kanga zao na vitenge wakivitandika chini, na wengine wamelala chini Ili upite juu yake kama ishara ya utii na upendo kwa kiongozi wao kulingana na Mila zao,

Ndugu Lissu huo ni mtego unategewa na Ibilisi, Mungu ni Mungu mwenye wivu, utukufu wake huwa hapendi kushare na wanadamu, walichofanya wanawake hao ni kutaka kukugombanisha na Mungu kwa faida ya Miungu yao chini ya shetani.

Huyu ndiye astahiliye utukufu,

(Mathayo 21:8-9)

8: Watu wengi Katika ule mikutano wakatandaza nguo zao njiani na wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza njiani, na mkutano waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti wakisema Hosana mwana wa Daudi ndiye mbarikiwa ,Yeye ajaye kwa jina la Bwana,Hosana juu mbinguni.

Nakushauri uendapo ziara kwingine, wakifanya hayo makufuru, wakemee, ajishushe, kataa sifa zao Ili uwe salama.

Muige Mwl Nyerere, hakupenda sifa za kijinga.

Ubarikiwe 🙏
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Yale ya Kabudi kumwita Magu mh....yasijejirudia.
 
Lissu ni mnyenyekevu sana. Hanaga upuuzi wa kujikweza. Hii ni moja ya sababu inayonifanya nimkubali sana.
Ahahahahaha! Mtu mchoyo, mbinafsi, mwenye wivu, chuki na roho mbaya kama Lissu toka lini akawa mnyenyekevu? Ahahahahaha!!
 
Salaam!

Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu,

Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona wanawake wakivua kanga zao na vitenge wakivitandika chini, na wengine wamelala chini Ili upite juu yake kama ishara ya utii na upendo kwa kiongozi wao kulingana na Mila zao,

Ndugu Lissu huo ni mtego unategewa na Ibilisi, Mungu ni Mungu mwenye wivu, utukufu wake huwa hapendi kushare na wanadamu, walichofanya wanawake hao ni kutaka kukugombanisha na Mungu kwa faida ya Miungu yao chini ya shetani.

Huyu ndiye astahiliye utukufu,

(Mathayo 21:8-9)

8: Watu wengi Katika ule mikutano wakatandaza nguo zao njiani na wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza njiani, na mkutano waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti wakisema Hosana mwana wa Daudi ndiye mbarikiwa ,Yeye ajaye kwa jina la Bwana,Hosana juu mbinguni.

Nakushauri uendapo ziara kwingine, wakifanya hayo makufuru, wakemee, jishushe, kataa sifa zao za kijinga, Ili uwe salama.

Muige Mwl Nyerere, hakupenda sifa za kijinga.

Ubarikiwe 🙏

Hizo zilikuwa mila za Kiyahudi na jamii nyingine duniani toka kale , walikuwa wakiwafanyia hivyo wafalme. Hazihusiani na Yesu.

Na wala siyo ibada.
 
Angekua NAPE ange pita kwenye RED CARPET LA MIGONGO YA WALE WA MAMA.
Jamaa aliwezaje kufanya udhalilishaji ule,

Hao wamama wa CDM wamedhalilisha chama na jezi ya CDM kufanya ujinga ule,

Wasirudie Tena. Tofauti ya ccm na CHADEMA chama makini inatakiwa kuonekana dhahiri.
 
Hizo zilikuwa mila za Kiyahudi na jamii nyingine duniani toka kale , walikuwa wakiwafanyia hivyo wafalme. Hazihusiani na Yesu.

Na wala siyo ibada.
Kumbe nape alikuwa sawa kukanyaga viuno vya mama zake kwa kivuli Cha Mila?

Sasa tofauti ya Nape, Kabudi na Lissu inatakiwa kuonekana,

Lissu awambie waepuke taratibu na Mila za kishamba, kuna mambo mengi ya kufanya.
 
Sasa usihusanishe mila zetu na Yesu.

Yesu ni myahudi na aliishi katika mila na taratibu za Kiyahudi.

Si kila mila zetu lazima zifanane na Wayahudi
 
Jamaa aliwezaje kufanya udhalilishaji ule,

Hao wamama wa CDM wamedhalilisha chama na jezi ya CDM kufanya ujinga ule,

Wasirudie Tena. Tofauti ya ccm na CHADEMA chama makini inatakiwa kuonekana dhahiri.

..Lissu ameshalizungumzia hilo suala mara nyingi kwamba hapendi mambo ya kutukuzwa.

..Na tukio la hao wamama kulala kwenye udongo ili kiongozi awakanyage migongoni sidhani kama Lissu alifanya hivyo. At least kwa taarifa zilizoko mpaka sasa hivi.
 
Back
Top Bottom