technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hakuna haja, kuna kipindi acha tuonyesha uongozi kwa kushinda kwa hoja hata kwa wasiotupendaKwanza ni matapeli
Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!!
Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu
Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama walivyovuta mwaka Jana na kufeli vibaya
Project part two inaendelea
Lissu na Heche msicheke na kima fyeka haraka uko waende TLP uko
Hawa ni wahuni tu
Wafyekeni warudi kwa waliowatuma!!
Chadema mpya tafadhali sana msiwachekee mapandikizi ya ccm ndani ya Chadema! Mjue kwamba mko vitani dhidi ya ccm na wanatumia kila mbinu kukwamisha mipango yenu ; kuna mapandikizi yao mpaka kwenye kamati kuu yenu hivyo ni muhimu kuanza kutafuta namna ya kuwathibiti wale wote wanaojulikana kama chawa wa ccm kama Mrema na Yeriko hawa ni kuwafuta mara moja; mkiwachekea hawa nyani mtakuja vuna mabua! Timing of your actions is very important.KWAKWELI!
👊 🤣✌️💥
Mbona CCM ilishawahi kuwa na G55 na hawakufutwa uanachama? Inashindikanaje chama cha demokrasia na maendeleo kushindwa kujibu hoja za wanachama wao waandamizi na kutaka kuwafukuza? Tayari mna pengo la Covid19 halafu mnataka mwongeze pengo lingine la G55? Kuweni serious. Chama bila watu sio chama.
Wewe mbona hujafutwa!Kwanza ni matapeli