Ushauri, uanzishaji wa kiwanda cha kisasa cha fanicha

Ushauri, uanzishaji wa kiwanda cha kisasa cha fanicha

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,015
Ndugu zangu,

Nimefikiria vya kutosha na nimepata wazo la biashara la kutengeneza na kuuza fanicha.

Nimeamua nianze kwa kuajiri mafundi wanaoweza kutengeneza fanicha kama makabati, sofa, vitanda, milango, madirisha, meza, viti nk. Nitaanza na mafundi 10.

Vilevile nimefanya utafiti mashine, kama mashine za kuranda mbao, kukata mbao, kutoboa mbao, kushape mbao nk.

Kwa ushauri mbalimbali juu ya matumizi ya kila mashine, nimeona kwa KAMTAJI kangu naweza kununua mashine 20 za aina tofauti.

Nimepata kaeneo Dodoma, ambako nitajenga karakana ya kutengenezea fenicha then nitatafuta show room kwa ajili ya kuuzia.

Je wadau naweza kupata soko ktk mikoa gani ktk mikoa mingine nje ya Dodoma? ukiondoa gharama za management like kulipa gharama za umeme, mafundi, machanic engineers, sales officers, managers etc. vipi naweza kupata faida kweli?

Kama wewe binafsi una idea ya ufundi is much better but kama si fundi basi make sure unapata fundi aliyewahi kufanya kwenye kiwanda cha furniture (hasa vya wazungu) na pia wewe binafsi make sure quality funiture unazijua. Na mafundi unaowaajiri wawe wanajua wanachokifanya sababu mashine zinaweza kuwa za kiwango lakini mafundi wakakosa zile kanuni za kiufundi kufanya bidhaa iwe bora na hatimaye wakakuletea hasara kubwa kwa kuchezea mbao.

Material kwa kuyapata Tanga ni sehemu sahihi. Mkoa wa Tanga umejaliwa kuwa na mbao za asili za aina nyingi sana: mvule, mkongo, mnyasa, kenfa, etc na za kupandwa: mikaratusi, pine, cypres, griveria etc had miembe lakini ni mafundi wachache sana wanatoa the best products, hata zile kampuni za funiture wamefeli katika hilo.

Finishing nzuri inaufanya ubao usio na thamani kubwa kwa funiture kama vile "pine" kuwa the best product kuliko mchina. Mafundi wengi hata wenye mashine za msasa na compressor ya vanish bado bidhaa zao chafu coz hawajui wanapaswa kufanya

Tembelea sana workshop za Dsm pia kule Iringa kuna kiwanda cha Sao-hill kuna mafundi wazuri sana ni sehemu nzuri ya kujifunza hasa kuhusu mashine za kununua na processing ya mbao
 
Angalizo: hakikisha unakuwa na quality finishing. JKT wanatengeneza furnitures lakini finishing bab kubwa.

kuhusu masoko, jitangaze tu. Weka fb, instagram, jf etc. Weka mapicha kibao. Utatoka tu, kila la kheri
 
Nashukuru kwa kunitia moyo. Hiyo changamoto ya finishing ya bidhaa nadhani nitaifanyia kazi, nitaenda kujifunza hilo.
 
Angalizo: hakikisha unakuwa na quality finishing. JKT wanatengeneza furnitures lakini finishing bab kubwa.

kuhusu masoko, jitangaze tu. Weka fb, instagram, jf etc. Weka mapicha kibao. Utatoka tu, kila la kheri

Nashukuru kwa kunitia moyo. Hiyo changamoto ya finishing ya bidhaa nadhani nitaifanyia kazi, nitajifunza hilo.
 
Angalizo: hakikisha unakuwa na quality finishing. JKT wanatengeneza furnitures lakini finishing bab kubwa.

kuhusu masoko, jitangaze tu. Weka fb, instagram, jf etc. Weka mapicha kibao. Utatoka tu, kila la kheri

Nakubaliana na wewe kabisa. Pia ajitangaze zaidi ikiwezekana awe na website. Ku maintain website ni cheap sasaivi. Na ai link na website nyingine za biashara. Showroom iwe safi sio ya kizushi kama ya yule jamaa wa pale mbele ya engen mbezi. Visibility ya showroon na products zake ni muhimu sana kwa public. Pia aweke service kama za ku repair used furniture hiyo itavuta watu wengi and in turn attract more sales. Bila kusahau ku insure mali zote against majanga. The biggest issue kwenye biashara ni ku protect your investment, grow your capital and retain customers.
 
Pia vizit existing factories uibe ideas kidogo. Kwa hapa dar unaweza kwenda keko, kuna kiwanda kinaitwa Jaffery Saini Industries. Hawa wanatengeneza mpaka hospital furniture locally. Utajifunza mengi.
 
dah! nashukuru sana mtu wangu wa nguvu, unajua hii ni field ngeni kwangu hivyo nahitaji ushauri waidi kupunguza risk ya hasara
 
Mkuu hii idea ni babu kubwa sana,nilishawahi kuifikiria hasa baada ya kutembelea kiwanda flani kilikua kinaitwa Kilwa woodforms, kilikuwa Mandela road Dar es Salaam(sasa kimefungwa).
Kikubwa ni angalia wapi utapa mbao za bei nzuri hasa mininga na mikongo. Pia ubunifu wa finishing hasa kwa mbao nyeupe.
Pia tumia catalogue za nje kuweza kutengeneza bidhaa zako.

My take,
Mchina ni fake sana lakini zina vision ya kuvutia sana na bei ni poa, hii ni changamoto kwako.
 
Mkuu hii idea ni babu kubwa sana,nilishawahi kuifikiria hasa baada ya kutembelea kiwanda flani kilikua kinaitwa kilwa woodforms, kilikuwa mandela road dar es salaam(sasa kimefungwa).
Kikubwa ni anagalia wapi utapa mbao za bei nzuri hasa mininga na mikongo.Pia ubunifu wa finishing hasa kwa mbao nyeupe.
Pia tumia catalogue za nje kuweza kutengeneza bidhaa zako.
My take,
Mchina ni fake sana lkn zinavision ya kuvutia sana na bei ni poa,hii ni changamoto kwako.

Najua nina ushindani na mchina na baadhi ambao wako kwenye field hii kwa miongo kadhaa sasa.

Nalifanyika kazi hasa hili la finishing ya bidhaa ili kuzipa quality ya ushindani ktk soko.
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Pia ajitangaze zaidi ikiwezekana awe na website. Ku maintain website ni cheap sasaivi. Na ai link na website nyingine za biashara. Showroom iwe safi sio ya kizushi kama ya yule jamaa wa pale mbele ya engen mbezi. Visibility ya showroon na products zake ni muhimu sana kwa public. Pia aweke service kama za ku repair used furniture hiyo itavuta watu wengi and in turn attract more sales. Bila kusahau ku insure mali zote against majanga. The biggest issue kwenye biashara ni ku protect your investment, grow your capital and retain customers.

Nitazingatia hasa hili la kuweka bima, na matangazo nadhani kuwa na website na kurasa za mitandao mingine ya kijamii.
 
Kama wewe binafsi una idea ya ufund is much better bt kama si fund basi make sure unapata fund aliyewahi kufanya kwenye kiwanda cha furniture (hasa vya wazungu) na pia weww binafsi make sure quality funiture unazijua. Na mafund unaowaajiri wawe wanajua wanachokifanya coz mashine zinaweza kuwa za kiwango lakini mafund wakakosa zile kanuni za kiufund kufany bidhaa iwe bora na hatimayd wakakuletea hasara kubwa kwa kuchezea mbao.

Material kwa kuyapata Tanga ni sehemu sahihi. Mkoa wa Tanga umejaliwa kuwa na mbao za asili za aina nyingi sana: mvule, mkongo, mnyasa, kenfa, etc na za kupandwa: mikaratusi, pine, cypres, griveria etc had miembe lakini ni mafundi wachache sana wanatoa the best products, hata zile kampuni za funiture wamefeli ktk hilo.

Finishing nzuri inaufanya ubao usio na thamani kubwa kw funiture kama vile "pine" kuwa the best product kuliko mchina. Mafund wengi hata wenye mashine za msasa na compressor ya vanish bado bidhaa zao chafu coz hawajui wanapaswa kufanya

Tmbelea sana workshop za Dsm pia kule Iringa kuna kiwanda cha Sao-hill kuna mafund wazuri sana ni sehemu nzuri ya kujifunza hasa kuhusu mashine za kununua na processing ya mbao
 
Na kwa kuanzia make sure vile vimashime vidogo vidogo vyote kama vile vya urembo na finishing unavyo. Vifaa vy mkono vitumike kwa kiwango kidogo sana.
Router machine, ile ya kukata miviringo, powerdrill, randa ndogo ya umeme, grander ya kufunga msasa, mashine ya msasa (rolling), na compressor ya vanish.

Pia kuna vimashine (combiner) vya kichina unaweza kuwa nacho hata kimoja kwa kaz ndogondovo viko durable sana kwa kaz nyepesi nyepeai abt 2ml tu.

Uwe na mafund wanaoweza kusoma picha za kwenye majarida kwa kupatia vipimo na kuzitoa kama zilivyo. Tumia zaid picha/design za kwenye majarida au websites za furniture. Mafund wakiwa wazuri na kitengo cha finishing kikawa kizuri mchina hana mafasi kwa wateja waelewa.
 
mkuu john84 nashukuru sana, ushauri wako ni wa kitaalamu zaidi, it seems uko competent kwenye field hii. Nitakutafuta mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii idea ni babu kubwa sana,nilishawahi kuifikiria hasa baada ya kutembelea kiwanda flani kilikua kinaitwa kilwa woodforms, kilikuwa mandela road dar es salaam(sasa kimefungwa).
Kikubwa ni anagalia wapi utapa mbao za bei nzuri hasa mininga na mikongo.Pia ubunifu wa finishing hasa kwa mbao nyeupe.
Pia tumia catalogue za nje kuweza kutengeneza bidhaa zako..
My take,
Mchina ni fake sana lkn zinavision ya kuvutia sana na bei ni poa,hii ni changamoto kwako.

utakapohitaji mbao ngumu kama mninga au MKongo tuwasiliane .email Yang ni godmakez@
 
Nadhani kwa ushauri ulioupata hapo juu utakuwa umeona ni jinsi gani iyo opportunity ilivyo kubwa hapa nchini. Mimi ningependa kukushauri kwenye planning kabla ya kuanza biashara, ikiwezekana andaa hata business plan, hii inakuwezesha kujua mtaji halisi unaohitajika to take your business off the ground na pia kuelewa gharama za uendeshaji. Ni vizuri kujua kwa mtaji ulio nao,una uwezo wa kuoperate mda gani kabla ya kubreak even, vile vile naamini business plan itakusaidia kufikiria vitu vingine kama marketing, legal, systems utakazotumia, cashflow, products utazoleta kwenye marketplace etc. Umuhimu wa planning kwenye biashara ni kama foundation kwenye nyumba.
 
taken, thanks
 
Ni biashara nzuri ingawa manunuzi yake ni taratibu
Lakini jaribu kuwa na wazo tofauti katika fani hii ya furniture pia unaweza ukanunua antiques, nikuwekee picha ambazo huenda ukapendelea kuwa nazo hizo kwenye store kama utapata wabunifu wazuri
 
Back
Top Bottom