Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Ndugu zangu,
Nimefikiria vya kutosha na nimepata wazo la biashara la kutengeneza na kuuza fanicha.
Nimeamua nianze kwa kuajiri mafundi wanaoweza kutengeneza fanicha kama makabati, sofa, vitanda, milango, madirisha, meza, viti nk. Nitaanza na mafundi 10.
Vilevile nimefanya utafiti mashine, kama mashine za kuranda mbao, kukata mbao, kutoboa mbao, kushape mbao nk.
Kwa ushauri mbalimbali juu ya matumizi ya kila mashine, nimeona kwa KAMTAJI kangu naweza kununua mashine 20 za aina tofauti.
Nimepata kaeneo Dodoma, ambako nitajenga karakana ya kutengenezea fenicha then nitatafuta show room kwa ajili ya kuuzia.
Je wadau naweza kupata soko ktk mikoa gani ktk mikoa mingine nje ya Dodoma? ukiondoa gharama za management like kulipa gharama za umeme, mafundi, machanic engineers, sales officers, managers etc. vipi naweza kupata faida kweli?

Kama wewe binafsi una idea ya ufundi is much better but kama si fundi basi make sure unapata fundi aliyewahi kufanya kwenye kiwanda cha furniture (hasa vya wazungu) na pia wewe binafsi make sure quality funiture unazijua. Na mafundi unaowaajiri wawe wanajua wanachokifanya sababu mashine zinaweza kuwa za kiwango lakini mafundi wakakosa zile kanuni za kiufundi kufanya bidhaa iwe bora na hatimaye wakakuletea hasara kubwa kwa kuchezea mbao.
Material kwa kuyapata Tanga ni sehemu sahihi. Mkoa wa Tanga umejaliwa kuwa na mbao za asili za aina nyingi sana: mvule, mkongo, mnyasa, kenfa, etc na za kupandwa: mikaratusi, pine, cypres, griveria etc had miembe lakini ni mafundi wachache sana wanatoa the best products, hata zile kampuni za funiture wamefeli katika hilo.
Finishing nzuri inaufanya ubao usio na thamani kubwa kwa funiture kama vile "pine" kuwa the best product kuliko mchina. Mafundi wengi hata wenye mashine za msasa na compressor ya vanish bado bidhaa zao chafu coz hawajui wanapaswa kufanya
Tembelea sana workshop za Dsm pia kule Iringa kuna kiwanda cha Sao-hill kuna mafundi wazuri sana ni sehemu nzuri ya kujifunza hasa kuhusu mashine za kununua na processing ya mbao