Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia Mimi naliafiki Hilo,Tunataka kuona mnyiramba nae anaaminika kuongoza chadema. Kwani lazima mchaga aongoze mpaka kufa kwake?
Aandike barua na kukabidhi mara Moja chamani kuwa HATOGOMBEA Uenyekiti.Mbowe aliahidi kustaafu. Sijui mama kamwambia Nini kahairisha kustaafu.
Apewe mtu uongozi aongoze kwenye mchakato wa uchaguzi. Mbowe atalindwa mpaka lini?Pia Mimi naliafiki Hilo,
Ila lifanikiwe baada ya October 2025,
BUSARA itumike Si mihemko!!
Chama kinatakiwa kishikamane Kwa UMOJA, homa ya Uchaguzi usiruhusiwe kuharibu utulivu ndani ya chama.
Chukua fomu ugombeeApewe mtu uongozi aongoze kwenye mchakato wa uchaguzi. Mbowe atalindwa mpaka lini?
Chama sio mali ya Mbowe kinaendeshwa kwa kodi zetu watanzania, we have interest there
Kwa kuwa huo ndio mzizi wa tatizo unaofanya Msigwa Kutoka nje ya mstari kujikuta anajaribu image ya chama,Apewe mtu uongozi aongoze kwenye mchakato wa uchaguzi. Mbowe atalindwa mpaka lini?
Chama sio mali ya Mbowe kinaendeshwa kwa kodi zetu watanzania, we have interest there
Ni ushauri tu,Napinga kabisa ushauri wako, lingine ni hili, Hakuna popote ambapo Chadema imesambaratika, achana na porojo unazozisikia
Halafu hizi si kwa matakwa ya mtu zinafanyika kwa mujibu wa sheria, hatuwezi kuwa kama TLP au UDP kisa hofu ya kusambaratika
Chadema ina demokrasia iliyotukuka, ndio maana Msigwa kaongea bila hata kuonyeshwa Bastola kama alivyofanyiwa Nape, pamoja na kutokuwa na ushahidi wowote kawatqja watu kwa majina lakini rufaa yake imepokelewa, kakataa msimamizi kawekewa aliyemchagua yeye mwenyewe napo bado hakuridhika, ndiyo DemokrasiaNi ushauri tu,
Ukipuuzwa ni sawa pia ndugu yangu, Sina maslah binafsi CHADEMA zaidi ya kutaka kuona DEMOKRASIA ndani ya vyama na HAKI ikitamalaki.
Ninyi mlio ndani ya chama, mnaoegemea upande Fulani, Si Rahisi kuyaona ninayoshauri.Chadema ina demokrasia iliyotukuka, ndio maana Msigwa kaongea bila hata kuonyeshwa Bastola kama alivyofanyiwa Nape, pamoja na kutokuwa na ushahidi wowote kawatqja watu kwa majina lakini rufaa yake imepokelewa, kakataa msimamizi kawekewa aliyemchagua yeye mwenyewe napo bado hakuridhika, ndiyo Demokrasia
Kwa hiyo chadema ni Mbowe?Kwa kuwa huo ndio mzizi wa tatizo unaofanya Msigwa Kutoka nje ya mstari kujikuta anajaribu image ya chama,
Ndio maana ninashauri, chaguzi zingine ziendelee, ila nafasi ya Uenyekiti ifanyike baada ya Uchaguzi,
Kufanya hivi, kuwaondoa siasa za kuhujumiana na kurudisha UMOJA ndani ya chama,
Hili unalionaje ndugu?
Agombee tu bila shida, ila nimeshauri iwe baada ya October 2025.Kwa hiyo chadema ni Mbowe?
Why msigwa ndio anaharibu image ya Chadema si mbowe anaharibu image ya Chadema?
Hiki chama mtanzania wa kabila lolote apewe haki ya kugombea
Nishakuambia uchaguzi huu siyo hiyari ya Chadema ni matakwa ya sheria za vyama vya siasa, isipoufanya yaweza hata kufutiwa usajili, maana watawala wanatafuta upenyo tuNinyi mlio ndani ya chama, mnaoegemea upande Fulani, Si Rahisi kuyaona ninayoshauri.
Uamuzi utabaki chamani, mkipuuza sawa, mkipokea pia sawa.
Thread hii itakuwa rejea huko mbeleni Kwa maamuzi yoyote yatakayofikiwa na chama.
Mwisho wa siku, yote haya, ni Kwa Nia njema kuhakikisha HAKI na DEMOKRASIA ya Kweli na uhuru unaheshimiwa.
Kelele kazileta Mbowe. Kulikuwa na ubaya gani yeye kutimiza ahadi yake ya 2022 aliposema ataachia uenyekiti? By the way amekaa sana mpk amekerahisha nafsi za wapenzi, wafurukutwa na wanachama wa chadema.Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo ( CHADEMA) imekuwa na kelele nyingi sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote.
Hivi havikufikisha miaka hata 50Umenena vyema, CCM imefikisha miaka 60, umri wa kustaafu umefika.
Iungane na ANC, KANU nk ,nk
CHADEMA ni ubepari, na ubepari haumuonei mtu huruma,lissu aamue wazi kupambana na mbowe hadi kieleweke🤣🤣🤣 Ngoja na CCM iwaoneshe Uputin Sasa ila muache maigizo ya Katiba mpya