Ushauri: Uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA ufanyike baada ya Oktoba 2025

Mbowe ndio Putin wetu, mitano tena, swali katiba ya Chadema inamruhusu kugombea au vipi?

Uenyekiti wa Chadema siyo ajira, hapo anatakiwa mtu wa kuongoza mapambano na mwenye ushawishi wa kuyafurusha madarakani maccm.

Wanaotaka ajira wasubili kugombea ubunge hizo ndio ajira zenye pesa nyingi.
Huyo Mbowe ana ushawishi gani sasa? Mbona huwa hagombei urais sababu anajua hakuna mtu atampa kura. He's a sore loser
 
Kwani JK aligombea Urais first term na Chadema alisimama nani kuwa mgombea Urais? Au ndio Chadema oyaoya?
 
Yatapita, na huyo jamaa anarudi ughaibuni kwa muda kutuliza akili. CDM ipo na itakuwepo saana tu.
Uchaguzi ni takwa la kikatiba la CDM na ni LAZIMA ufanyike.
 
Uchaguzi wa 2005 ndio ulimuonyesha hana influence ndio maana tokea hapo hawezi gombea urais. Hata mwakani atasaka mtu CCM kama ambavyo 2020 alimleta Nyalandu ila akaangushwa na Lissu. Kama anajua wananchi wanamuona hatoshi urais why alazimishe uenyekiti? This guy is an embarrassment.
 
Jidanganyeni, angalia hata humu JF zile ID zote zilizokuwa kiherehere kusupport chadema ndio zinampinga Mbowe sasa inakuonyesha tu Mbowe hakubaliki kabisa na wale hardcore chadema.
 
Uchaguzi wa 2005 ndio ulimuonyesha hana influence ndio maana tokea hapo hawezi gombea urais. Hata mwakani atasaka mtu CCM kama ambavyo 2020 alimleta Nyalandu ila akaangushwa na Lissu. Kama anajua wananchi wanamuona hatoshi urais why alazimishe uenyekiti? This guy is an embarrassment.
Kwahiyo Lisu alishinda Urais kwa JPM? Lisu si ndio alipunguza kura za Chadema kutoka million 6 mpaka chini ya million mbili?
 
Uchaguzi wa 2020 ulikua na wizi, ila still ameleta ruzuku ya 100m+ kwa mwezi whilst Mbowe uchaguzi wa 2005 alileta 60m pekee. Pia Mbowe alikua na wabunge 11 ila Lissu kuna slot za wabunge 20!! Alafu Lissu alipata Million mbili kasoro yaani mara 3 ya kura alizopata 2005.

So ukiachana na wizi wa CCM uliokua wazi kabisa ila Lissu amemzidi Mbowe kwenye kila parameter ya uchaguzi mkuu. Mbowe is a joke, na akigombea Urais mwakani utaona ambavyo wanachadema hawatopiga kura
 
Lisu amepata wabunge wa majimbo wangapi na Mbowe alipata wabunge wa majimbo wangapi?

Halafu kumbe tatizo ni pesa za ruzuku ndio mnatowana roho?
 
Majimbo si walipambana wenyewe naongelea yale ambayo yana direct influence ya mgombea Urais kma ruzuku na viti maalum. Huyo Mbowe wenu anazidiwa parameter zote na Lissu. He's a failure hata ww moyoni unajua Mbowe akishinda hivi akigombea urais anauzika? Nani atampigia kura au kuhudhuria mkutano wake? Mnajua ukweli sema mnaendekeza njaa tu
 
Back
Top Bottom