Ushauri: Uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA ufanyike baada ya Oktoba 2025

Tuambie majina yako halisi, rabon ndio nini
 
Tunataka kuona mnyiramba nae anaaminika kuongoza chadema. Kwani lazima mchaga aongoze mpaka kufa kwake?
Kile chama ni cha wachaga, anzisheni chenu, mtaelewa lini? TLP, NCCR-MAGEUZI vyote vya wachaga. Wachag kwa asili ni wabinafsi na ving'anga'anizi wanapenda sn madaraka wataachiana wenyewe
 
Uchaguzi kumbe ndio tiketi ya vurugu ndani ya vyama vya siasa,

Tusubiri 2025.
 
Mkt Mbowe uking'atuka nafasi ya uenyekiti baada ya 2025, itakuwa vyema sana.
 
Karibu Lissu,

Muhimu Amani itawale. HOJA bin HOJA.
 
Wazo zuri kuhimili mikiki mikiki, (ndanda kosovo), hahahaa
 
Wala usiwe na shaka, ufanyike peupeee wote tunaona afu mtu aaibike ahame na chama
 
Ushauri wa kipuuzi mwenyekiti mpyaachaguliwe ilikuongoza harakati za uchaguzi we unataka uibe uchaguzi ili lengolako litimie uchaguzi wa chama uanze then uchaguzi uje
 
Ushauri umechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…