technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote wanaotiliwa mashaka na jamuhuri.
Uhamiaji kwa Sasa utendaji wao unatia mashaka ili kurudisha nidhamu ya jeshi la Uhamiaji nashauri
Uhamiaji uwe ndani ya Wizara ya ulinzi wa nchi.