GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Nadhani ingeundwa Idara katika jeshi inayojihusisha na ulinzi wa mipaka ya nchi kavu na majini. Jeshi la uhamiaji liingizwe huko Ili iwe rahisi kufanya patrol mipakani. Huku maofisini wabaki watu wachache sana wa kuhudumia mambo ya vibali pasi n.k. ...Maofisini ziachiwe komputa zichakate taarifa na kutoa vibali.