technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mkuu, kwanini MoD ndio hakuna corrupt officials??Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote wanaotiliwa mashaka na jamuhuri.
Uhamiaji kwa Sasa utendaji wao unatia mashaka ili kurudisha nidhamu ya jeshi la Uhamiaji nashauri
Uhamiaji uwe ndani ya Wizara ya ulinzi wa nchi.
Nafasi zikitoka hao wenye akili hawajitokezi wanajitokeza watu kama Babu TaleTatizo wenye akili hawana nafasi
Daaah, MoD imejiingiza kwenye siasa?? Aisee..Wizara ya Ulinzi nao wameanza kukamatwa na uchawa.
How comes wanaagiza magari ya wanaruhusu yachukuliwe na CCM.
Suluhisho la msingi kwenye haya ni Katiba Mpya na kuiondoa madarakani CCM maana kwa namna ujinga wa CCM ulivyowezesha Tanzania kuingiliwa na mapandikizi siku si nyingi tutaipoteza hii nchi.
Point. ✔️Wizara ya Ulinzi nao wameanza kukamatwa na uchawa.
How comes wanaagiza magari ya wanaruhusu yachukuliwe na CCM.
Suluhisho la msingi kwenye haya ni Katiba Mpya na kuiondoa madarakani CCM maana kwa namna ujinga wa CCM ulivyowezesha Tanzania kuingiliwa na mapandikizi siku si nyingi tutaipoteza hii nchi.
Siyo hawana nafasi bali hawataki siasa ...ni wakati wasomi wetu kujitosa katika siasa hasa za upinzani ili kulinusuru Taifa. Wasomali wakijazana na kuzaliana humu wataanza kudai haki zao kama hao M23.Tatizo wenye akili hawana nafasi
Tatizo lilipo ni kuchanganya siasa na mifumo ya nchi kakaNafasi zikitoka hao wenye akili hawajitokezi wanajitokeza watu kama Babu Tale
Nenda kwenye kiini Cha tatizo kukomwsha. Ufisadi na rushwa hata JWTZ wanaweza kuingia mtegoni watakapo kutana na pesa za bure Ili umtimizie mtu shida yake ambayo kwa ofisa ni kitu rahisi Cha kufumba na kufumbua.Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote wanaotiliwa mashaka na jamuhuri.
Uhamiaji kwa Sasa utendaji wao unatia mashaka ili kurudisha nidhamu ya jeshi la Uhamiaji nashauri
Uhamiaji uwe ndani ya Wizara ya ulinzi wa nchi.
Unataka kuliingiza jeshi kwenye ulaji wa rushwa?! Ni mwanajeshi gani hataki kuwa na magari au majumba mazuri kwa hela za kificho? Salama ya jeshi letu kutokuwa karibu na rsluhwa ni kuepushwa na mwingiliano na shughuli za kijamii. Haimanishi wanajeshi ni waadilifu sana. Kama huamini nenda kaombe tender jeshini kisha uipate, uone ni wanajeshi wangapi wa vyeo vya juu watataka uwawekee cha juu kwenye hiyo tender.Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote wanaotiliwa mashaka na jamuhuri.
Uhamiaji kwa Sasa utendaji wao unatia mashaka ili kurudisha nidhamu ya jeshi la Uhamiaji nashauri
Uhamiaji uwe ndani ya Wizara ya ulinzi wa nchi.
Mwenye mamlaka ya kumpa mtu uraia ni waziri wa mambo ya ndani na sio kamishna jenerali wa Uhamiaji.Sakata la wale wachezaji wa Singida ni aibu kwa idara hii. Hilo moja tumelijua je hao wasomali wanaojazana kariakoo.
Kuna kitu tunakitafuta tutakipata.
Sawa anaweza kumchongea waziri yeyote kwa kiongozi ambaye ni wale wale kwa kuwa watu wenye akili hawakuwania huo uongozi. Wakati wa kutafuta hao viongozi wenye akili walikuwa wanapita tu na magari yao mwisho wa siku akina Babu Tale wakapitaTatizo lilipo ni kuchanganya siasa na mifumo ya nchi kaka
If leo mtu kama mwijaku anaweza kumchomgea waziri yeyote kwa raisi na akatimuliwa
Kama tanzania tunapoenda ni mbali kuliko tulipo toka😞
Failer of upper leadership systemSawa anaweza kumchongea waziri yeyote kwa kiongozi ambaye ni wale wale kwa kuwa watu wenye akili hawakuwania huo uongozi. Wakati wa kutafuta hao viongozi wenye akili walikuwa wanapita tu na magari yao mwisho wa siku akina Babu Tale wakapita