Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

Hamna mkuu sio kweli lazima una kasehemu kako unakamiliki kule kwenye makaburi ya jiji utapewa urithi wako siku israel akikutembelea
 
NONSENSE AND STUPIDITY SHWAIN
Ulicho kiandika kina mantiki gani? Ili upate uhalali wa kupinga hoja ya kweli .ukibisha mm sikulazinishi kwani si lazima niandike kitu kinacho kufurashs alsfu woga wa kufaa stupidy
 
Ulicho kiandika kina mantiki gani? Ili upate uhalali wa kupinga hoja ya kweli .ukibisha mm sikulazinishi kwani si lazima niandike kitu kinacho kufurashs alsfu woga wa kufaa stupidy
Sidhan kama ntakosea kukuita MPUMBAVU ...
kwaio hio comment yako unaona umemsaidia saaaana na una akili sana kama sio akili mavi ni nini
 
Sidhan kama ntakosea kukuita MPUMBAVU ...
kwaio hio comment yako unaona umemsaidia saaaana na una akili sana kama sio akili mavi ni nini
Mpumbavu ni wewe unaye taka sisi tukusadie wewe kumiliki wakati kutomiliki kwako kume sababishwa na ujinga ulio jiambukiza wa kuto kujali kumiliki na na ubaradhuli wa kutapanya ulio ushikiria hata sasa. Kama mke ulie naye ameshindwa kuku shauri sisi nani hata tuweze.
 
Kumbe nabishana na chizi hata thread huielewi
hadi mapovu na makamasi yanakutoka
 
Kumbe nabishana na chizi hata thread huielewi
hadi mapovu na makamasi yanakutoka
Kwa asili kila mwadamu ni chizi na ndo maana uchi wako umekutuma kutulalamikia sisi tukusaidie mawazo ya kumiliki ukasau kukumbuja kwamba kumiliki na au kuto kumiliki kume bebwa na wewe mwenyewe sawa wewe ni mzima lakini huenda ni vagaborn kwisha habariyako.
 
Hata dushe ni mali, hujajua tu namna ya kuitumia ikutengenezee maisha.
 
Success to me inaanza na mimi kufanya kile nachokipenda. Inaanza na mimi kutojutia maamuzi yangu, inaanza na mimi kutolalamika. Wakati mwingine ni matumizi yetu Makubwa kuliko kipato, wakati mwingine ni tabia zetu pale tunaposhika hela.

Most billionears never knew they were to become rich. They simply loved what they did, eventually it brought them success. Huwezi fikia hiyo level kama hujiamini. Huwezi kufikia kama haukotayari ku sacrifice everything for that thing / act you like or love to do.

Most of us we are successful in so many other things isipokuwa pesa. Sasa tatizo pesa ukiotafuta kwa nia tuu ya kuwanazo na kutumia kufanikisha your daily expenses, you become obsessed to a point you r willing to do anything for Money.

Kwanza shukuru, kisha tulia. Evaluate your priorities. Cut your losses. Cut your losses as fast as possible. And keep moving forward, ACHA KULALAMIKA.
 
Endelea kupambana mkuu,usikate tamaa...riziki huja kwa wakati aliopanga Mungu,huenda muda wako bado ..ongeza bidii na kumuomba zaidi utafanikiwa
 
Wewe ni Sigara kali maana yake huwaka pande mbili.Jitahidi kusimama katika jambo moja kisha kuwa mvumilivu utafanikiwa.
 
Acha kutumia hiyo sigara Kali utatusua tu mkuu, nimegundua hela yako inaishia kwenye sigara.
 
Back
Top Bottom