Chief kama una soft copy msaadakuna concept moja ukiielewa inaweza kuchange your life forever (kama utaifanyia action)
"Money owned= value created/delivered to others"
na "consumption doesn't care about education level"
JE, ushawah kwenda kununua kitu unachoitaji, lkn b4 hujalipa ukaulizia "eti muuzaji,una degree ngapi? ".... NO, kama unacho kitu ninachoitaji...you got my money, haijalishi nimesoma/sijasoma....ndio maana utakuta watu std seven wana hela kibao kuliko graduates.....making money is about solving the needs/wants of people... That's how you'll get their money
AF kwny VALUE ss, the more value u provide via solving needs/wants....The more money you'll make....
Soma these books: UNSCRIPTED na THE MILLIONAIRE FASTLANE
Mjinga Mkubwa weweWe siyo graduated ni graditude huwezi kuwa zoba kwa kiasi hicho nikimuona MTU ana degree halafu analalamika ajira natamani nimtemee mate huna Tina kwa taiga hili kabisa .si ajabu umeacha mashamba kijijini nawe IPO mjini unabanana na washua wakati umeacha Mali ,Mimi na degree ya HRM nibahatika kufanya field wilaya flani hadi Leo nafanya shughuri zangu kwenye wilaya hiyo na sina mpango wa kuajiliwa kabisa .
Umenena hamna kitu chenye dhamani kama afya njema mengine mungu anajua juu yetu sisi.Umeandika kwa uchungu sana, ni kweli wakati mwingine unaweza kuhisi hauna bahati kwenye maisha kwa kukosa hiki na kile, mara nyingi katika nyakati hizo huwa napenda kwenda muhimbili au ocean road hospital kama nipo Tanzania, pale nitaona watu wenye shida za ukweli, kwa kufanya hivyo, nitatazama mbingu na kumshukuru Mungu baba kwa kuniinulia uso wake na kunifadhili, afya njema na uhai ni zawadi kubwa kwangu kutoka kwa Mungu, hayo mengine ni ziada. Usikate tamaa endelea kupambana maisha hayana formula, wala hautaweza kuipata formula hapa JF.
Nakuunga mkono kuna siku nilikuwa naenda kutafuta ajira mahari nikiwa kwenye daladala nikawa najihisi mtu nisiye na bahati, pembeni yangu alikaa dada fulani alikuwa na kidonda shingoni Kwa nyuma nikawa naongea nae na kumuuliza kulikoni hicho kidonda akanijibu kuwa anaumwa kansa. Ilibidi nimshkr MUNGU na kujiona mweny bahati Kwa kunipa afya njema maisha yanabadilika sana huwezi jua kesho yako..Umeandika kwa uchungu sana, ni kweli wakati mwingine unaweza kuhisi hauna bahati kwenye maisha kwa kukosa hiki na kile, mara nyingi katika nyakati hizo huwa napenda kwenda muhimbili au ocean road hospital kama nipo Tanzania, pale nitaona watu wenye shida za ukweli, kwa kufanya hivyo, nitatazama mbingu na kumshukuru Mungu baba kwa kuniinulia uso wake na kunifadhili, afya njema na uhai ni zawadi kubwa kwangu kutoka kwa Mungu, hayo mengine ni ziada. Usikate tamaa endelea kupambana maisha hayana formula, wala hautaweza kuipata formula hapa JF.
Naomba niongezeee kidogo,hakuna ndugu anayetaka Ndugu yake afanikiwe kimaisha bora mtu baki anaweza kukusadia ukatoka kimasha sio Ndugu.Kati ya watu usiotakiwa tegemea ni
Ndugu (Tumbo Moja au W Mbali)
Familia
Marafiki
Ukiwategemea Hawa utakufa masikini, hata wawe nacho hawawezi kukusaidia zaidi watapenda uwe hivyo ili uwaheshimu
Kipi kilichokupa furaha mkuu ...mi ni mwanaifm mwenzakoNiliamua kuweka pembeni ADA(Adv Dip In Acc) yangu ya ifm nikaamua kufanya kinachonipa furaha.
Ni story ndefu mkuu ili kuielewa itanibidi nianzishe Uzi wangu.Kipi kilichokupa furaha mkuu ...mi ni mwanaifm mwenzako
Kwa maelezo nilivyoelewa inaonyesha hawaishi pamoja!Kama nimekuelewa, mzazi mwenzio ana kipato kizuri. Tafuta wazo zuri la biashara ya kiwango anachoweza ku-finance, halafu mshirikishe
Nimekuelewa sana mkuu thumb up!kuna concept moja ukiielewa inaweza kuchange your life forever (kama utaifanyia action)
"Money owned= value created/delivered to others"
na "consumption doesn't care about education level"
JE, ushawah kwenda kununua kitu unachoitaji, lkn b4 hujalipa ukaulizia "eti muuzaji,una degree ngapi? ".... NO, kama unacho kitu ninachoitaji...you got my money, haijalishi nimesoma/sijasoma....ndio maana utakuta watu std seven wana hela kibao kuliko graduates.....making money is about solving the needs/wants of people... That's how you'll get their money
AF kwny VALUE ss, the more value u provide via solving needs/wants....The more money you'll make....
Soma these books: UNSCRIPTED na THE MILLIONAIRE FASTLANE
Inategemea na ndugu wa aina gani. Wengine ni mayatima wamelelewa na kusomeshwa na ndugu. Jitazame wewe na ndugu zako kaka...sio wote ni wabaya.Kati ya watu usiotakiwa tegemea ni
Ndugu (Tumbo Moja au W Mbali)
Familia
Marafiki
Ukiwategemea Hawa utakufa masikini, hata wawe nacho hawawezi kukusaidia zaidi watapenda uwe hivyo ili uwaheshimu
Umeongea point sana. Wasiosoma sana wanatuzidi mbali sana katika elimu ya biashara nimejifunza sana hili. Wasomi huwa tunaangalia sana mitaji mikubwa. Ndio maana matajiri wengi hawana elimu kubwa ya darasani.dah pole sana mkuu... hapo ni kujiongeza tu kukaa karibu na wasiosoma wanaofanya ujasiriamali.. utajofunza mengi sana ya mtaji mdogo na jinsi ya kukuza mtaji.. ukiwa karibu na wamachinga, mama ntilie, na wengineo vijiweni....
kuna vingi tu unaweza fanya kwa mtaji wa laki moja sisi wasomi hatuvijui.. ila wasiosoma wanavijua
Nahisi shida yako ni malengo na mtazamo wako wakimaisha mjomba.Salaam wanajamvi,
Jamani naomba mnipe ushauri kutoka kwenu hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha.
Kwanza naweza sema hapa Tanzania kusoma sana ndo kuukaribisha umasikini tu.
Kijana mimi wa kitanzania mwenye elimu ya Bachelor degree na Postgraduate Diploma hadi sasa nagonga 30 years sina cha maana ninachomiliki katika maisha yangu.
Sijui kwa sababu nimetumia muda mwingi kusoma, au hii familia niliyozaliwa ya umasikini ndo chanzo hata sijui.
Nilisoma kwa mkopo wa serikali na postgraduate nikafadhiliwa kwa kujua kwamba nikimaliza nitaingia kwenye system kupitia ualimu wa masomo ya arts imekua ndivyo sivyo.
Umri unaenda sina mtaji sina ndugu wa kuniwezesha kwa chochote kazi zimekua ngumu so nategemea kudra za Mwenyezi Mungu labda nitafanikiwa.
Najishughulisha na shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato lakini hakikidhi mahitaji napata hela ya kula, kulipa kodi miezi 2 2 au 1.
Nina mtoto anaishi kwa mama yake, najisikia vibaya kumwona mwanangu anakua lakini hadi sasa baba yake similiki chochote kitakachomsaidia, mama yake ndo anauwezo kwa sasa wa kumjengea mazingira bora coz kipato chake kinatosha kabisa.
Sina ninachomiliki jamani, naombeni ushauri njia bora ya kuishi, namna ya kufanya ili nami niweze kutoka katika dimbwi hili la umaskini, nakiri kwamba nimesoma na kwa sasa sina ndoto tena ya kutaka kuajiriwa nina ndoto ya kujiajiri lakini sijui wapi napata mtaji, labda itokee nipate ajira ya uhakika ya kupata salary bila usumbufu hapo nitajipanga kudunduliza hela nipate japo mtaji.
Umasikini mbaya sana. Na elimu ya Tanzania inachochea umasikini.
Nipeni ushauri jamani ili mwaka 2018 niwe mtu mpya nijue nini nifanye nami nimiliki japo biashara hata ya kuuza juice, banana power hata shujaa vodka.
Ushauri tafadhali, sihitaji maneno ya kejeli nina frustration zangu.
NAWASILISHA