Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki
Nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.