Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaa sawaSidhani kama itakuwa rahisi uamini watu baki kuliko mama yako.
Kwanza mimi sioni umuhimu wa yeye kumwambia angeacha tu. Haina haja.
Sent from my head using brain
Mwambie ukweli chamdekoKuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki
Nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.
Uzi ufungwe, usipofanyia hili kazi jiue ajue mama ake kafa.Swali la kujiuliza ni hili; Kwa nini unataka kumueleza?? Amekuwa akikuuliza kuwa je wewe ni mama yangu au?? Na kama kakuuliza, ni kitu gani kilimfanya akakuuliza hilo swali??
Angalia, kama ungelikuwa unamfanyia hiana asingelifikia umri huu bila kujua ukweli. Yeye amekujua kama mama yake imetosha. Humdai malipo ya kumtunza, humkatai katika uzee wake, sasa kinachokufanya umwambie kuwa weye sio mamake ni kitu gani??
Kama wakiitwa wazazi wake tangu akiwa mdogo si ni wewe ulienda?? Mbona unakuja kataa mtoto wako uzeeni? Acha kabisa hayo maneno unayotaka kumhuzunisha nayo. Sio mazuri
Mweleze tu ajue, hilo jambo lilitucost sana kwetu.Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki
Nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.
Acha kabisa kufanya huo ujinga; unless kama una mpango wa kuanza kumuonyesha kuwa wewe si mama yake mzazi. Kama una mpango huo, mweleze ili utakapokuwa umeanza mikikimikik yako, aweze kuona namna ya kufanyaKuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki
Nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.
Mwambie ukweli chamdeko
Uzi ufungwe, usipofanyia hili kazi jiue ajue mama ake kafa.
Usimwambie Bado mdogo Hadi awe na familia kwanza ndio umweleze!ukifanya Sasa utapata wakati mgumu sana kumlea!
Mweleze tu ajue, hilo jambo lilitucost sana kwetu.
Duuh wazee huu uzi ni wa 2017 miaka karibu 8 iliyopita, huyo binti kwa sasa anaweza kuwa ana miaka 25 siyo mdogo tena, anyway nami ningependa kujua kama Midekoo alimueleza ukweliAcha kabisa kufanya huo ujinga; unless kama una mpango wa kuanza kumuonyesha kuwa wewe si mama yake mzazi. Kama una mpango huo, mweleze ili utakapokuwa umeanza mikikimikik yako, aweze kuona namna ya kufanya