Its very hard to tell the truth but ni bora utafute mda mwafaka na umwelexee ukweliKuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki , nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.
Jiongeze mkuu kwa nini asiambiwe ukweli huyoo mama yake mlezi akifa?Hongera kwa malezi mn ungekuwa na malezi ya kibaguzi naamini angeshajua ukweli. By then huenda alishaambiwa na watu ila hajakushirikisha tu.
Nakushauri nikiwa na akili timamu isiyo na shaka kuwa usimwambie kabisaaa mwache ajue wewe ndie mamake, nasema hivi kwa sababu ukimwambia huenda kuna siku ulimpiga akiwa hajui kosa hivyo ukimwambia atarudi nyuma na kusema ndo maana naonewa au nilionewa kumbe sio mamangu.
Usimwambie na endelee kumlea katika njia zimpendezazo mungu watu
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app