Ushauri unahitajika: Je, nimueleze kama Mama yake Kafariki?

Mjeengee msingi bora wa maisha mpaka atakapo kua na uwezo wa kujitegemea

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hongera kwa kumlea hadi kufikisha umri huo,mwambie ukweli tena the early the better.
 
Kaa ukijua huyo nimwanao maadam nimtoto wa mdogo wako, kutokumueleza ni vizuri na kumueleza ni vizuri pia! Kama amewahi ambiwa huko nje na wahenga kuwa wewe si mamake mzazi na yeye akakuuliza basi yakubidi nawewe umueleze tena umueleze vizuri ukizingatia ako kahistoria kanatia uchungu sana, watu wawili wamefariki ambao walikuwa nitegemeo lake; moja mamake pili mamake aliyemchukua baada ya mamake kufariki naye akafariki na baadaye wewe ndo ukamchukua!

Ila kama hajapata tetesi toka kwa wahenga nawewe kaa kimyaaaaaaaa mwache mtoto wa mdogo wako aendelee kukujua kuwa wewe ni mamake mzazi ila kama ulimfanyia visa hapo nyuma utakuwa umemharibu zaidi kisaikolojia, kama umemlea kama siwako vile hapo ndo patamu atawakumbuka wale waliotangulia kuliko wewe licha ya kwamba wewe ndo umekuwa naye miaka mingi!
 
we usi mwambie ukwel muache bado mdogo,kama ni mwanafunzi huon kama uta mchanganya????
 
Subiri apate kazi for the time being utamchanganya.

Sent from Me, My self and I
 
Mwambie ukweli chamdeko
 
Uzi ufungwe, usipofanyia hili kazi jiue ajue mama ake kafa.
 
Usimwambie Bado mdogo Hadi awe na familia kwanza ndio umweleze!ukifanya Sasa utapata wakati mgumu sana kumlea!
 
Mweleze tu ajue, hilo jambo lilitucost sana kwetu.
 
Acha kabisa kufanya huo ujinga; unless kama una mpango wa kuanza kumuonyesha kuwa wewe si mama yake mzazi. Kama una mpango huo, mweleze ili utakapokuwa umeanza mikikimikik yako, aweze kuona namna ya kufanya
 
Duuh wazee huu uzi ni wa 2017 miaka karibu 8 iliyopita, huyo binti kwa sasa anaweza kuwa ana miaka 25 siyo mdogo tena, anyway nami ningependa kujua kama Midekoo alimueleza ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…