Ushauri unahitajika kwa dada yetu

Kwa wanawake wengi,
Ndoa ni plan B ya kujikwamua kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huo ni mtegoo jamaa kiufupi chance ya kukuoa baada ya ukiyomfanyia ni asilimia 10 ila asilimia 90 anataka kukunyooshaaa...!! Na huyo mumeo kama ni muislamu bhasi pole maana bora shika kenda kuliko kumi nenda ujee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Utarudi utakuta hata zile kenda hazipo tenaaaa hapo ndo utajua hujuii...
 
Kwa maelezo yako inaonesha ulitembea na huyo mchaga baada ya kuolewa.
Ukweli ni kwamba kama mumeo ana timiza mahitaji ya familia usimuache. Kusema akuache kisa mke wa pili, huo ni ujinga. Tena furahi mke mwenzako unamjua

Sent from my ZTE BLADE A512 using JamiiForums mobile app
 
Pole kwanza kwa changamoto za ndoa ila hakuna mwanaume mjinga wa kiwango cha huyo mchaga ambae anaweza kukubali urudi kwake baada ya KUMFANYIA HAYO ULIYOMFANYIA[emoji16]_hiyo inaitwa KARMA endelea kuvuna dhambi ya usaliti huku ukisubiria LAANA YA NDOA IENDELEE KUKUTAFUNA,dada yangu HEBU jifunze KUTUMIA AKILI kuliko HISIA!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchaga mjinga atakayeoa mtumba kwisha kazi second hand material na kulea watoto wa watu anasemaje?
Vigoli na ndito hazioni huko serikalini aliko?
 
Aah....ni mentality tu za watu...we hukumu.tabia yako tu ndo iliyokuponza...
 
Muda wangu wa ku revenge umefika
 
Mwambie huyo dada kuwa ipo siku mchaga ataoa mke wa pili au tayari ana mchumba ambaye atamtambulisha hivi karibuni kwa wazazi wake na hatakuwa na la kufanya. Sonona itammaliza.
 
Mwamba kuna kitu anataka lipiza huyo . Amini kwamba....

Wanaume hatuna chatacter hyo in nature.. huyo kuna jambo amekuandalia utakuja juta.
 

Wewe ni mbinafsi sana, na mwenye tamaa ndo sababu ilikufanya umuache mchaga.

Tamaa yako I nataka kukurudisha kwa mchaga, hii haiitaji unabii, Karma is out looking for you.

Utakaporudi kwa mchaga utajuta mpaka ujisahau jinsia, anaweza asijue ila Ana moyo mchungu sana.

Wanaume tu watu wa ajabu sana, unaweza ufikiri umesamehe usaliti, kumbe wapi. Uchungu utaanza na hufuata mauaji.

Mchaga will ever ever trust you, atajisikia unsecure, na atakuwa very controlling, usije thubutu.

As long as mume sio abusive kukupiga, stay kwenye ndoa, stay there and stay again.

Karma is out looking for you, its better that you pay the karma kwa mume wako, kwa x itakuwa chungu sana.
 

He he he
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…