Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

Haya madini yaranisaidia siku za usoni
 
Nashukuru kwa ushauri wako napi nilikuwa naomba msahada kama nataka kuagizia kitu kimoja naweza kutumia njia hipi ya uagizaji na kingine kwenye swala la malipo ulisema kuwa natakiwa kujua jina la kampuni na wakala yawe yanaendan kama mimi nitawezaje kujua yote hayo na hapo hapo ulisema tusilipe kupitia kwa huduma za posta tutumie huduma za kibenki nitawezaje kwenye ilo. asante kwa hayo machache
 
Back
Top Bottom