Ushauri: Ununuaji wa magari

Ushauri: Ununuaji wa magari

Hivi CIF ni cost in freight au Cost insurance and freight, naomba tueleweshane hapo
 
Habari wakuu. Mimi natafuta gari inaitwa suzuki maruti , ni hiace ndogo sana.nina picha ya mfano kwenye whatsup. Tafadhali tuwasiliane: 0766-643934 au 0713-039875 muhimu:dalali nitamlipa laki moja nikiridhika na gari hiyo.
 
Wakuu naomba kuulizia gharama zote za kuitoa bandarini na kuendesha mtaani bila usumbufu ni kiasi gani kwa gari hii.

TOYOACE truck
Current price US$2500
Cif-..US$ 4177$
Max. Load capacity 1.5ton
Dimension (L*W*H)
4.69*1.69*1.94m
Year of manufact: 1988
Engine code-3Y
Engine size: 1990cc.

Nitashukuru sana kusaidiwa ktk hilo.
 
Mracho Ngongoti,

Kama tayari umeshalipa hiyo CIF cost. Basi ushuru na mazaga mengine kwa gari hiyo andaa dola 5000. Karibu kwa ushauri zaidi
 
Konzogwe,

Tafadhali naomba nifafanulie wastani wa:
1. port charge,
2. Kodi yake
3. Shipping line
4. Agent
5. Usajili
6. Plate number nk.

Shukrani kwa msaada
 
Shipping line+port charge 500,000
Kodi:
ID 25%
Ex 5%
Exa 20%
Vat 18%
Agent 250,000
Reg 280,000
Plate number 40,000. Ka vp unaweza kunicheck kwa whats app 0684 454 441
 
Nataka kununua Suzuki Escudo vipi wadau itanifaa.nisaidieni.
 
Vipi wadau kuhusu ubora wa gari aina ya Toyota CAMI ,ulaji wa mafuta na spea zake
 
Back
Top Bottom