Hivi CIF ni cost in freight au Cost insurance and freight, naomba tueleweshane hapo
Hivi gharama za uchakavu kwa ghali ya mwaka 1997 na mwaka 2004 ni sawa?Umemaliza mkuu. Maana hiyo kodi ya uchakavu jamaa anavyokomaa anaweza kuamua kulitelekeza gari bandarini.
Natafuta Carina, Gx110, Alteza au hata Spacio New Model Budget Mil5! 0756-075234