BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Vits nzuri tena ya mwaka 2003 kupata ni ngumu sana .ila kwa Starlet unaweza pataNawashukuru sana wanajamii kwa maoni yenu, nitayafanyia kazi. Anatakiwa siku njema na mbarikiwe sana.
Nashukuru sana mkuu, nitayafanyia kazi ubarikiwe sana.
- 14,000,000 - 16,000,000 zile model za zamani hizo LX ni 30,000,000 up to 40,000,000Naomba kujua bei ya gari hizi kwa wastan, ikiwezekana nijue tofauti ya kuagiza na kununua hapa , na nasikia kuwa Zenji bei poa je ni kweli?
Mark 2 Grande - 15,000,000 - 18,000,0000
Verossa - 16,000,000 - 20,000,000
Mark X - 18,000,000 - 25,000,000
Toyota Harrier